eeeh kweli aisee 😂 😂 😂 😂 😂
Kwenye ujiri imani tu ila kwenye mambo mengine shetani anapiga deal kuliko MunguLazima tumkatae shetani na kazi zake zote
ulaji huo wizara zisiwe nyingi labda na nane tuBaraza la Mawaziri- 2020-2025
Raisi- Tundu Antipas Lissu
Makamu Raisi- Salum Mwalimu
Waziri Mkuu- Bernad C Membe
Waziri/Nje- Lazaro Nyalandu
Waziri/ Fedha- Zitto Kabwe
Waziri Ulinzi- Esther Bulaya
Waziri Sheria- Halima Mede
Waziri Afya- Juma Duni Haji
Waziri Muungano- Ismail Jussa
Waziri/ Viwanda, Biashara na Uwekezaji- Freeman Mbowe
Waziri/ Tamisemi- Mnyika
Waziri/ Ndani- Godbless Lema
Waziri/ Michezo Burudani- Joseph Mbilinyi
Waziri Watoto Maendeleo ya Jamii- Suphian(kutoka ACT)
Waziri Uchukuzi- John Heche
Waziri Madini- Fatma Karume
Waziri Mafuta/ Gesi- Esther Matiko
Waziri Maliasili/ Utalii- Mch Msigwa
Waziri Ardhi- Godlisten Malisa
Waziri/Maji- Ado Shaibu
Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu- Maria Sarungi
Katibu Mkuu/ Kiongozi- Prof Assad
SawaKwenye ujiri imani tu ila kwenye mambo mengine shetani anapiga deal kuliko Mungu
Nakuja nyingi tu toka kwa mawakili wa serikali yao.bila kusau hiliLissu hajawahi kugombania akashindwa, alishinda u Rais wa Tanganyika Law Society licha ya Mwakyembe akiwa Waziri wa Sheria kumuwekea mapingamizi.
Huu mchezo mtamu saaaanaNajua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao.
Kwa mazingira niliyoyaona Leo kwa mgombea wa Urais wa chama cha Chadema, Tundu Lissu kuibuka kwenye mkutano mkuu wa ACT Wazalendo, natabiri kuwa mazungumzo ya kuachiana kwa nafasi mbalimbali, yanaendelea vizuri sana na yapo mategemeo makubwa sana ya kufikia muafaka kwa vyama hivyo.
Nafahamu pia hakuna mtanzania asiyefahamu nguvu ya kisiasa ya Maalim Seif, kule Zanzibar.
Kwa hiyo itakuwa kwa maslahi mapana ya upinzani wa nchi hii, kuweza kuunganisha nguvu kwa vile vyama makini, ambavyo kwa sasa naviona kuwa ni hivi vyama viwili vya Chadema na ACT Wazalendo, ili kuwezesha wasizigawe kura hizo kwa hao wagombea.
Nayatakia kila la kheri mazungumzo hayo yanayoendelea, ili hatimaye yafikie muafaka kwa maslahi mapana kwa upinzani nchini na naamini yatakuwa ni "maumivu" makubwa sana kwa jamaa zetu wa chama tawala cha CCM, iwapo mazungumzo hayo yatazaa matunda
Mkoa upi hakuna miradi ya chuma Magufuri?Maendeleo sio kondomu Hadi uzame mfukoni,Chato, dodoma na dar es salaam sio tz pekee,vipi mikoani.maendeleo ya vitu uleta umasikini Mkubwa sana katika nchi
Hawa CCM safari hii wametaitiwa kisawasawa!Mara hii upinzani umejiandaa tofauti na mawazo ya Ccm. Ikitokea wamemuengua mgombea yeyote kwa hila wasitegemee mteremko. Usishangae hata TADEA wakachukua urais.
Vijana wa polepole hao Mkuu, kodi zetu zinatumika vibaya sana. Kununulia wapinzani, kuwalipa ninyi elfu saba saba na kuhudumia maharawa wa mkulu kama akina jocate na wenzake.
Kwani aliekwambia mie CCM nani?chilubi
Naku-quote ulivyosema
Ni lazima CCM ilindwe Zanzibar!
Kwa maana hiyo kwa uliyoyasema, hakuna haja ya uchaguzi Zanzibar!
Nikuambie tu kuwa Maalim Seif ameshaonya kuwa hatakuwa tayari kwa yale aliyoyaona 2015, kwa Jecha "kupindua" matokeo
Hivi unadhani nini kitatokea kwa nyinyi CCM kujiapiza kuwa NI LAZIMA ZANZIBAR ILINDWE?
Tunamuomba Mungu atuepushe na hali hiyo na awape busara nyinyi CCM, kuwa mheshimu uamuzi utakaofanywa na wananchi wa Zanzibar kupitia sanduku la kura. OVA
Mara, Iringa,tabora,kigoma,kagera, Kilimanjaro,tanga,katavi, Lindi,njombe,kwa uchache Chato dodoma na dar sio tz yote, maendeleo ya watu kwanzaMkoa upi hakuna miradi ya chuma Magufuri?