Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Time will tellMwaka huu afe kipa afe beki lazma apoteze pambano mbele ya jemedari Magufuli...
Historia yake yakutopoteza pambano itafutwa na Mchapakazi JPM..
Time will tellMwaka huu afe kipa afe beki lazma apoteze pambano mbele ya jemedari Magufuli...
Historia yake yakutopoteza pambano itafutwa na Mchapakazi JPM..
Time will tell
K vant inakuchanganya Nini mbona unatoka nje ya mada,ukiona umelewa sio lazima uni qoute unaweza kusoma tu comment na ukapita kimya kimya mnakwama wapi bawacha?Kwa kauli yako hii,maana yake hata wewe uliletwa bahati mbaya na mama Karibu Sana ,na pia unauwezo wa kumchagulia mume mama yako na kumuozesha!.
Basi nawe jitahidi usipate mimba kwa bahati mbaya kwa tabia yako ya kukaribisha karibisha hovyo wanaume,maana imani yako ipo kwa mwanaume aliyefungua mlango.
We unaonaje? Ukiacha humu kwenye mitandao, unahisi upepo unavuma upande gani?Twambie pia kuhusu Bara
Hiyo ni timu ya propaganda "waliowewezeshwa" na hao jamaa wa kijani, ili wamchafue Mbowe
Ili kuthibitisha kama hizo ni propaganda, wewe toa point zako za kuwapinga hao wanaomlalamikia. Vyenginevyo hakuna propaganda zaidi ya ukweli.Hiyo ni timu ya propaganda "waliowewezeshwa" na hao jamaa wa kijani, ili wamchafue Mbowe
Kawaida ya vipafuKIPI CHA MAANA MLICHOWATENDEA WATZ ZAID YA PROPAGANDA TU NA KUSIFU
wewe jama umesema ukweliWaungane wasiungane hawawezi kushinda watamsindikiza magufuli kwenye ushindi wake wa kishindo,wao wataendelea kuitwa wapinzani mpaka kufa kwao,nje na CCM wakukamata dola hajazaliwa
Kwanza itakuwa vizuri kama utanitaka radhi kwa kunituhumu kuwa Jecha ni mtu wangu. Mimi hunijui na wala sikujui. Mimi si mwana chama wa chama chocote kile. Sikjiandikisha kupiga kura na sina lengo la kupiga kura. Nipo hapa kutoa mawazo yangu tu. Pia sijamuita mtu yeyete yule katika post yangu kuwa si lolote wala chochote, hayo ni maneno yako. Usitie maneno yako kwenye kinywa changu.Are you serious Mtanzania?
Hivi hujui alichokifanya huyo mtu wenu Jecha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015?
Hivi mtu aliyewahenyesha mno katika uchaguzi mkuu wa 2015, ndiyo leo umuite si lolote wala chochote?
Maendeleo sio kondomu Hadi uzame mfukoni,Chato, dodoma na dar es salaam sio tz pekee,vipi mikoani.maendeleo ya vitu uleta umasikini Mkubwa sana katika nchiKawaida ya vipafu
Hacha wenye macho waone
chilubiNiwaambie kitu kimoja tu, haiwezekani vyama viwili tofauti viongoze Tanzania na Zanzibar bila nyufa za Muungano kuanza kuleta athari ya kuporomosha Muungano mzima. CCM haipo tayari kuruhusu hilo, na juu chini chini juu CCM Zanzibar lazima ilindwe.
Tubet £100 Novemba 1 Magufuli rais. Maxence atazishika pesa mpaka matokeo yakitoka. Nipo 100% nitakula pesa yakoTulikua tunafanya maigizo ya uchaguzi lakini mwaka huu kutakua na uchaguzi.
Mimi niko Rombo £100 ni ya nini? Weka T shillingsTubet £100 Novemba 1 Magufuli rais. Maxence atazishika pesa mpaka matokeo yakitoka. Nipo 100% nitakula pesa yako
300000Mimi niko Rombo £100 ni ya nini? Weka T shillings
Ukweli upo palepale ningependa sana mabadiliko sababu najua uzuri wake kwa kuishi muda mrefu kwa wenzetu. Lakini ukweli upo palepale sijamuona mwanasiasa serious anayetaka mabadiliko zaidi ya upigaji tu. Miaka miwili mfululizo makada wa Chadema wamemtukana sana Zitto kuwa ni ccm b. Mwaka jana Yericko kampasua vibaya sana hapa na twitter. Leo zimebaki siku chini ya 90 ndiyo akili inawajia na wewe dada yangu unaingia kwenye mkenge huu. CCM wana mtaji tayari wa watu mil 16 mmepigwa pin msifanye mikutano miaka 4 na nusu halafu wenzenu wamepita wakitoa rushwa kuanzia 2018 leo mnataka kujidanganya hapa kua mtashinda.Time will tell
Waungane wasiungane hawawezi kushinda watamsindikiza magufuli kwenye ushindi wake wa kishindo,wao wataendelea kuitwa wapinzani mpaka kufa kwao,nje na CCM wakukamata dola hajazaliwa