residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,020
- 9,609
Kwa kauli yako hii,maana yake hata wewe uliletwa bahati mbaya na mama Karibu Sana ,na pia unauwezo wa kumchagulia mume mama yako na kumuozesha!.Waungane wasiungane hawawezi kushinda watamsindikiza magufuli kwenye ushindi wake wa kishindo,wao wataendelea kuitwa wapinzani mpaka kufa kwao,nje na CCM wakukamata dola hajazaliwa
Basi nawe jitahidi usipate mimba kwa bahati mbaya kwa tabia yako ya kukaribisha karibisha hovyo wanaume,maana imani yako ipo kwa mwanaume aliyefungua mlango.