Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Huyu uwezo kichwani hamna anabebwa na Jina la Mzee wake. Wao ni Wazuri hawafi, lkn cha ajabu wanaendelea kugombana na Kivuli cha mfu JPM.
Kwani amesema uongo.....hayo ndiyo aliyofanya Mungu mfu Magufuli. Aendeleee kupumzika kwa mateso
 
Huyu uwezo kichwani hamna anabebwa na Jina la Mzee wake. Wao ni Wazuri hawafi, lkn cha ajabu wanaendelea kugombana na Kivuli cha mfu JPM.
Ukifuatilia huyu alianza kutofautiana na matendo ya Marehemu tangu akiwa hai, unazikumbuka sauti zilizodukuliwa...? Mpaka akafurushwa Uwaziri...? So huyu siyo Mnafiki, unazikumbuka zile Katuni zake za Ngazi....? Huyu aliyaona akajaribu kujitenga nayo. Hakuna mwanadamu asiye na Mapungufu...
 
Tumemsikia,moja ninalokubaliana nae ni kuwa ameongea tuliyotarajia kutoka kwake, hakumpenda magufuli,hakuwa na uhakika wa kuendelea kunyonya kama walivyozowea chini ya jpm, jpm aliwapiga pini wakati flani,wakalazimika kujivua nguo for the sake of their interest, juzi Kinana kaongea,ungemsikiliza kinana usingeshangaa kusikia hiki anachoongea makamba leo, wote walikuwa ni victims wa ile awamu, tunapopishana naye ni pale alipokubali kuisimamia ile station ya uchafuzi tu basi, na akahakikisha kuwa haki haitopatikana kwa vyovyote, nisiongelee hizi scandal nyingine kama za umeme nk, hizo zilikuwa ni katika kunyonya ziwa walilolizowea, so hata siku mama akiondoka story zitakuwa ni hizi hizi,
Ila ukweli utabaki pale pale kuwa Jiwe alikuwa shetani na nusu
 
Jiwe alikuwa mshenzi sana. Asante mhe. January Makamba kwa kulisema hili ili dunia ijue. Na January ndiyo mwanaccm pekee uliyebakia kuwa na akili.

Mhe. January Makamba naomba uende mbali zaidi, kwa kuitaka serikali kifuta kumbukumbu zote za serikali zinazomtambua jiwe kama mmoja wa watu waliowahi kuwa marais nchi hii.
Duh umefika mbali sana
 
Sasa kama alijua hayo yote kwanini alikubali kuwa Mbunge !!! Je ? Yeye alichaguliwa kwa halali kwenye jimbo lake ?? Upuuzi mtupu
 
..wewe unamshambulia mtoa hoja, badala ya kujibu hoja alizowasilisha.

..kuna watu ni wahanga wa mambo mabaya yaliyofanywa na Magufuli na genge lake ni vizuri kila mmoja wetu akajielekeza kuwatetea wahanga.
ushakula 20k kwa marope unaimba mapambio sasa
 
Naomba nisimuwekee maneno Makamba.

Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
Bro hauelewi Kitu Sisi Wananchi tulimtaka Magufuli na Siyo Kampuni ya Kupiga dili Mali ya Umma. Na kama hujui ukitaka Uchukiwe mpaka Kizazi chako chote endelea kutukumbusha Mambo yaliyopita. Nimesikiliza Clip haina Ujumbe wowote wa Kashfa ila Sauti yako uliyoiingiza ndiyo inakashfu ili utengeneza taharuki.
Nb: Ni kweli Huyo Mtoto wa Mke wake Yusuph Makamba hapendwi hasa kutokana na Kauli ya Baba yake ya Wazuri hawafi ndipo alichukiwa zaidi. Na Hata Jimboni kwake hana Uwezo wa kupitishwa hata ndani ya CCM labda aende akagombee Ubunge jimbo la Nkenge kule Kagera Ujombani kwa Wanyankole 🤣🤣🤣.Wakashindane na Mwamba Murura Mmarekani wa Tanzania Ila Kumgombanisha na Watu huo ni Uonevu sana. Tukwimba fijhooooo mwemweeeee bha Mwaisaaaaas.
Samia anatosha :Mitano amalizie hadi 2030.
 
1. Je, wanasiasa walifungwa?

2.Je, kuna walionyang'anywa fedha?

3. Je, kuna walioharibiwa biashara zao?

4. Je, shughuli za vyama vya siasa zilizuiliwa?

5. Je, uchaguzi haukuwa na makandokando?
Uzushi mtupu. Ujue makamba bila shaka ni jasusi kwa kujua au kwa kutojua maana ndivyo wamarekani wanavyomtumia mtu wakisha muweka sawa. Kwanza amejaa kasumba kuamini njia zote za wamagharibi ndio sahihi. Hebu fikiri waziri katika serikali ya ccm ikiongozwa na aliyekua makamu wa rais awamu iliyopita ya jpm anawezaje kufanya shutuma za aina hiyo huku mwenyewe alikua waziri wa jpm hadi alipotimuliwa kwa njama zake ovu dhidi ya Jpm. Ama lao na samia kumshusha jpm ni moja hakuna hakika au januari yuko kivyakevyake akitumika na waliyokua maadui wa magufuli na kwamba yuko kwenye mission za ujasusi kuhakikisha nchi haiongozwi tena na mwanamapinduzi kama magufuli? Inawezekana kabisa yeye yuko kwenye mission dhidi ya fikra za kimagufuli akijua wazi namna umma wa wananchi walimkubali magufuli kwa jinsi alivyopigania maendeleo yao na maslahi ya taifa dhidi ya ubeberu wa kimataifa.
 
Bro hauelewi Kitu Sisi Wananchi tulimtaka Magufuli na Siyo Kampuni ya Kupiga dili Mali ya Umma. Na kama hujui ukitaka Uchukiwe mpaka Kizazi chako chote endelea kutukumbusha Mambo yaliyopita. Nimesikiliza Clip haina Ujumbe wowote wa Kashfa ila Sauti yako uliyoiingiza ndiyo inakashfu ili utengeneza taharuki.
Nb: Ni kweli Huyo Mtoto wa Mke wake Yusuph Makamba hapendwi hasa kutokana na Kauli ya Baba yake ya Wazuri hawafi ndipo alichukiwa zaidi. Na Hata Jimboni kwake hana Uwezo wa kupitishwa hata ndani ya CCM labda aende akagombee Ubunge jimbo la Nkenge kule Kagera Ujombani kwa Wanyankole 🤣🤣🤣.Wakashindane na Mwamba Murura Mmarekani wa Tanzania Ila Kumgombanisha na Watu huo ni Uonevu sana. Tukwimba fijhooooo mwemweeeee bha Mwaisaaaaas.
Samia anatosha :Mitano amalizie hadi 2030.

..mbona sijaongeza chochote kuhusu alichosema Mh.Makamba?
 
Back
Top Bottom