Alichosema Januari Makamba kuhusu uchaguzi wa 2020 huo ndio ukweli mtupu

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,033
Nimefarijika sana kusikia KAULI ya Waziri Mwandamizi wa Serikali ya Awamu ya 5 na ya 6 na KADA wa CCM Januari Makamba akiuzungumzia Uchaguzi Mkuu wa 2020 chini ya RAIS MAGUFULI jinsi ulivyokuwa.

Kilichonifurahisha zaidi Mh.Makamba hakuzungumzia Bumbuli wala Serena Hotel bali Nje ya Nchi mbele ya Watanzania na Waandishi wa habari wa Kigeni. Januari Makamba alichokizungumza ndio UKWELI MTUPU wa KILICHOTOKEA wakati wa ule UCHAGUZI wa 2020.

CCM inapaswa iwaombe RADHI wapinzani hasa CHADEMA kwani ni WAHANGA WAKUBWA wa Mateso ya RAIS MAGUFULI na Serikali yake. Mpaka leo kuna Wanachama wa Chadema bado wapo MAGEREZANI kwa kesi za kusingiziwa za Mauaji Uhujumu uchumi n.k.

Pamoja na yote hayo MUNGU ni wetu sote MAGUFULI licha ya kupata KURA ZOTE za NDIO lakini SIO RAIS tena MUNGU alisikia KILIO cha WANYONGE ktk NCHI YAO. Viongozi wetu JIFUNZENI kwa hili la MAGUFULI duniani TUNAPITA TU.

VYEO ni DHAMANA.

Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao
 
Wewe naona utoto unakusumbua,nilini wapinzani waliisha wahi kukili adharani kuwa mwaka huu uchaguzi umekuwa huru tokea mfumo wa vyama vingi uhasisiwa hapa Tanzania?

Tokea enzi za akina Mrema mpaka Sasahivi Hadithi ni hizi hizi tumeibiwa/ tumedhumiwa, badaye mnashiriki huo uchaguzi na mtu anayewaibia,hapa ndipo ninaona upinzani wa Tanzania niwaganga njaa tu.

Unazungungunzia uchaguzi wa 2020 Wewe naona haukuwepo kipindi cha Mkapa kuna watu walikufa wengine mpaka Sasahivi wako uhamishoni ulaya huko wengine walikmbilia Kenya shimoni.

Mbona mnamtaja Magufuli kama ndiye mwanzilishi wa kuvuruga uchaguzi wakati kuna mpaka waliozalisha wakimbizi?

Kabla ya kuleta nyuzi humu tafute historia kwanza mnachuki na Magufuli kwasababu aliwakatia mirija tu,ila hajafanya mabaya kuliko walimtangulia.
 
Kama walipanga kumkwamisha MZEE JIWE majibu waliyapata.

Ukiingia mikononi mwa mtu mwenye nguvvu ya dola, hayo ndiyo maamuzi sahihi kwa kila mtu hata wewe ungekuwa jiwe usingekubali vijana kama akina KIPARA WAKUZUNGUKE
 
Nimefarijika sana kusikia KAULI ya Waziri Mwandamizi wa Serikali ya Awamu ya 5 na ya 6 na KADA wa CCM Mh.Januari Makamba akiuzungumzia Uchaguzi Mkuu wa 2020 chini ya RAIS MAGUFULI jinsi ulivyokuwa.Kilichonifurahisha zaidi Mh.Makamba hakuzungumzia Bumbuli wala Serena Hotel bali Nje ya Nchi mbele ya Watanzania na Waandishi wa habari wa Kigeni. Mh.Januari Makamba alichokizungumza ndio UKWELI MTUPU wa KILICHOTOKEA wakati wa ule UCHAGUZI wa 2020.
CCM inapaswa iwaombe RADHI wapinzani hasa CHADEMA kwani ni WAHANGA WAKUBWA wa Mateso ya RAIS MAGUFULI na Serikali yake.Mpaka leo kuna Wanachama wa Chadema bado wapo MAGEREZANI kwa kesi za kusingiziwa za Mauaji Uhujumu uchumi n.k.
Pamoja na yote hayo MUNGU ni wetu sote MAGUFULI licha ya kupata KURA ZOTE za NDIO lakini SIO RAIS tena MUNGU alisikia KILIO cha WANYONGE ktk NCHI YAO.Viongozi wetu JIFUNZENI kwa hili la MAGUFULI duniani TUNAPITA TU.VYEO ni DHAMANA.
Kwa logic ndogo tu, kama alichosema ni ukweli mtupu basi, yeye mwenyewe amejitukana kuwa si mbunge halali.Na kwamba sasa kwa maelezo yake ya kipumbavu, ajiuzuru ubunge na uwaziri. Na kwamba Rais pia ajiuzuru, na kwamba bunge pia lijiuzuru. Kama hayo hayatafanyika, nina amini kuwa ameongea uongo, na upumbavu kutokana na akili yake ndogo, ya kuropoka na kukurupuka. Kama mzee, wake alivyokurupuka na kusema wazur hawafi.
 
Wewe naona utoto unakusumbua,nilini wapinzani waliisha wahi kukili adharani kuwa mwaka huu uchaguzi umekuwa huru tokea mfumo wa vyama vingi uhasisiwa hapa Tanzania?

Tokea enzi za akina Mrema mpaka Sasahivi Hadithi ni hizi hizi tumeibiwa/ tumedhumiwa, badaye mnashiriki huo uchaguzi na mtu anayewaibia,hapa ndipo ninaona upinzani wa Tanzania niwaganga njaa tu.

Unazungungunzia uchaguzi wa 2020 Wewe naona haukuwepo kipindi cha Mkapa kuna watu walikufa wengine mpaka Sasahivi wako uhamishoni ulaya huko wengine walikmbilia Kenya shimoni.

Mbona mnamtaja Magufuli kama ndiye mwanzilishi wa kuvuruga uchaguzi wakati kuna mpaka waliozalisha wakimbizi?

Kabla ya kuleta nyuzi humu tafute historia kwanza mnachuki na Magufuli kwasababu aliwakatia mirija tu,ila hajafanya mabaya kuliko walimtangulia.
Kukiri kosa na kuomba radhi ni ibada. Nawashangaa wenye Imani sawa na ya Magufuli wanamuombea kwa kumficha Mungu mambo ya hovyo aliyoyatenda akiwa hai. Mungu adanganywi, kwasababu hakuwa amesinzia, alikuwepo kipindi hayo yakifanywa na Mafuli pamoja serikali take.

Sasa sijuhi nyie mlikuwa mkikaa nchi gani mpaka mshindwe kuuona wizi wa uchaguzi, udharimu, uteseji na ukatili wa kila aina uliofanywa na Magufuli si kwenye uchaguzi tu bali hata katika maisha ya kawaida ns ya kisiasa ndani ya nchi yetu.

Upinzani kulalamikia rafu zinazofanywa na chama tawala ni Jambo la kweli na wana haki ya kulalamika kwasababu ni kweli. Ndiyo kwa sehemu kubwa ktk vipindi vyote vya uchaguzi CCM imekuwa ikiiba na sehemu nyingine kupora kwa nguvu ushindi kwa wagombea wa vyama vya upinzani hasa Chadema. Lakini kilichofanywa na Magufuli kwenye uchaguzi wa 2020 ulikuwa ni ukatili uliopitiliza.
 
Wewe naona utoto unakusumbua,nilini wapinzani waliisha wahi kukili adharani kuwa mwaka huu uchaguzi umekuwa huru tokea mfumo wa vyama vingi uhasisiwa hapa Tanzania?

Tokea enzi za akina Mrema mpaka Sasahivi Hadithi ni hizi hizi tumeibiwa/ tumedhumiwa, badaye mnashiriki huo uchaguzi na mtu anayewaibia,hapa ndipo ninaona upinzani wa Tanzania niwaganga njaa tu.

Unazungungunzia uchaguzi wa 2020 Wewe naona haukuwepo kipindi cha Mkapa kuna watu walikufa wengine mpaka Sasahivi wako uhamishoni ulaya huko wengine walikmbilia Kenya shimoni.

Mbona mnamtaja Magufuli kama ndiye mwanzilishi wa kuvuruga uchaguzi wakati kuna mpaka waliozalisha wakimbizi?

Kabla ya kuleta nyuzi humu tafute historia kwanza mnachuki na Magufuli kwasababu aliwakatia mirija tu,ila hajafanya mabaya kuliko walimtangulia.
Kosa moja halihalalishi jingine. Utetezi wa mwizi kuwa aliiba kwa sababu wengine huiba haukubaliki na ni wa kipumbavu kabisa.
Bado safari ni ndefu kufikia ustaarabu.
 
Nimefarijika sana kusikia KAULI ya Waziri Mwandamizi wa Serikali ya Awamu ya 5 na ya 6 na KADA wa CCM Januari Makamba akiuzungumzia Uchaguzi Mkuu wa 2020 chini ya RAIS MAGUFULI jinsi ulivyokuwa.

Kilichonifurahisha zaidi Mh.Makamba hakuzungumzia Bumbuli wala Serena Hotel bali Nje ya Nchi mbele ya Watanzania na Waandishi wa habari wa Kigeni. Januari Makamba alichokizungumza ndio UKWELI MTUPU wa KILICHOTOKEA wakati wa ule UCHAGUZI wa 2020.

CCM inapaswa iwaombe RADHI wapinzani hasa CHADEMA kwani ni WAHANGA WAKUBWA wa Mateso ya RAIS MAGUFULI na Serikali yake. Mpaka leo kuna Wanachama wa Chadema bado wapo MAGEREZANI kwa kesi za kusingiziwa za Mauaji Uhujumu uchumi n.k.

Pamoja na yote hayo MUNGU ni wetu sote MAGUFULI licha ya kupata KURA ZOTE za NDIO lakini SIO RAIS tena MUNGU alisikia KILIO cha WANYONGE ktk NCHI YAO. Viongozi wetu JIFUNZENI kwa hili la MAGUFULI duniani TUNAPITA TU.

VYEO ni DHAMANA.

Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao
Kwa mtizamo huu,ccmm itatawala milele,endapo wenye uwezo wa kuandika jf wanaoitwa ''great thinkers''
watafurahishwa na siasa za kuuma na kupiliza,
Magufuli amekufa,niulize swali,je hao walioko magerezani wanaendelea kufungwa kwa amri ya magu?
Au January amejiuzuru huo ubunge alioupata kwa dhuruma?
Mimi ningempongeza endapo angejiuzuru huo uongozi alioupora kwa kusaidiwa na so called magufuli politics.
 
Huyo anayewadanganya sasa hivi anawavutia pumzi ya kuwabana kwa njia ya mtandao,akivizia uPM
Mungu si athumani aliangukia pua
 
Tuna viongozi wanafiki na wanaojali matumbo Yao na vyeo kwanza!!
Huyo makombo umsifuye kwanini hakuyasema hayo wakati ule? Amesubiri mtesaji afe ndiyo kanaongea Tena hakaongelei humu ndani huo niwoga na unafiki. Haka kanahusikaga na kuchenjua matokeo ya uchaguzi je kanausafi gani wa kushutumu wengine??
Bora kina Membe,Nyalandu wao walimpinga waziwazi hadharani ninyi wengine wanafiki mkaage tuu kimya msitafute umaarufu Sasa!!
TUSISIFIE VITU KINAFIKI,TUWE WAKWELI MAANA HATA VITABU VINATUFUNDISHA...
"UKIONA JAMBO BAYA ONDOA KWA MIKONO YAKO,UKISHINDWA KUONDOA BASI KEMEA,UKISHINDWA YOTE HAYO BASI CHUKIA"
 
Kwa logic ndogo tu, kama alichosema ni ukweli mtupu basi, yeye mwenyewe amejitukana kuwa si mbunge halali.Na kwamba sasa kwa maelezo yake ya kipumbavu, ajiuzuru ubunge na uwaziri. Na kwamba Rais pia ajiuzuru, na kwamba bunge pia lijiuzuru. Kama hayo hayatafanyika, nina amini kuwa ameongea uongo, na upumbavu kutokana na akili yake ndogo, ya kuropoka na kukurupuka. Kama mzee, wake alivyokurupuka na kusema wazur hawafi.
Wabunge karibu wote wa ccm wanajua Hilo kuwa si wabunge halali hata yeye akiwemo. Shida nyie wapumbavu mmeshazoea uongo na mnataka January aseme uongo pia
 
Kama walipanga kumkwamisha MZEE JIWE majibu waliyapata.

Ukiingia mikononi mwa mtu mwenye nguvvu ya dola, hayo ndiyo maamuzi sahihi kwa kila mtu hata wewe ungekuwa jiwe usingekubali vijana kama akina KIPARA WAKUZUNGUKE
Jiwe alikuwa mshamba. Mwisho wa siku kati ya Jiwe na Januari mshindi ni Januari maana Jiwe anaoza huko Chato
 
Wewe naona utoto unakusumbua,nilini wapinzani waliisha wahi kukili adharani kuwa mwaka huu uchaguzi umekuwa huru tokea mfumo wa vyama vingi uhasisiwa hapa Tanzania?

Tokea enzi za akina Mrema mpaka Sasahivi Hadithi ni hizi hizi tumeibiwa/ tumedhumiwa, badaye mnashiriki huo uchaguzi na mtu anayewaibia,hapa ndipo ninaona upinzani wa Tanzania niwaganga njaa tu.

Unazungungunzia uchaguzi wa 2020 Wewe naona haukuwepo kipindi cha Mkapa kuna watu walikufa wengine mpaka Sasahivi wako uhamishoni ulaya huko wengine walikmbilia Kenya shimoni.

Mbona mnamtaja Magufuli kama ndiye mwanzilishi wa kuvuruga uchaguzi wakati kuna mpaka waliozalisha wakimbizi?

Kabla ya kuleta nyuzi humu tafute historia kwanza mnachuki na Magufuli kwasababu aliwakatia mirija tu,ila hajafanya mabaya kuliko walimtangulia.
Ni kweli kila uchaguzi kuna chembechembe za wizi wa kura ila 2019/2020 ilikuwa wazi mno mpinzani aliyeshinda mmoja tu, na ikapelekea kupoka wabunge 19 kwa ghiriba kuingia bungeni ili kutimiza matakwa ya misaada. Tusirudie kosa hili tena,angalau wengine wamekataa kufa na dhambi hii kwa watanzania,wamekiri na kuungama km Makamba, km haitakuwa unafiki.
 
Magu alikuwa kiongozi mbaya kuwahi kutokea Tanzania asante Mungu alimfutilia mbali mapema.

Back
Top Bottom