Skudu makudubela
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 563
- 1,108
Baridi ni kali ila walinzi tuko makinj tunapambana 01:49
Kuhusu verse anazo Kali nyingii, au we huku Bali nini??wanasema the best verse from eminem,sikubali
kwamba hiyo verse ndio kali sana from him,.Kuhusu verse anazo Kali nyingii, au we huku Bali nini??
Verse anazo nyingi mno, kaangalie mocking bird, no love, monster, not afraid, public enemykwamba hiyo verse ndio kali sana from him,.
ukilala sanaHivi inakuaje mtu unachoka kulala???
Mimi nimeamua kwenda Club, Napata Absolute Vodka na Bitter lemon bariidiHivi inakuaje mtu unachoka kulala???
Duh shida Nini Tena?Duu kweli maana najuta hata kwanini usiku upo maana si kwashida hizi xaani natamani hata kujuwa wachawi nao hawana usingizi kweli.
Mimi club nilikuwa jana hivi nimetoka kwenye sherehe lakini sijisikii kulala kuwaka mara mbili mfulilizo sipendiMimi nimeamua kwenda Club, Napata Absolute Vodka na Bitter lemon bariidi
Afu ata sio sana hivi nimetoka sehemu sijisikii kulalaukilala sana
Ili ulale inabidi uwe busy mchana to the extent that mwili uwe umechoka uhitaji kupumzika, Ila kama mwili umeupumzisha mchana mzima lazima ukose usingiziDuu kweli maana najuta hata kwanini usiku upo maana si kwashida hizi xaani natamani hata kujuwa wachawi nao hawana usingizi kweli.