Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,670
- 97,416
Simuoni Mlinzi wa zamuKwanini umeuliza mkuu?
Simuoni Mlinzi wa zamuKwanini umeuliza mkuu?
Tupo mkuuSimuoni Mlinzi wa zamu
Kesho unaenda kanisani au msikitini?Tupo mkuu
Napendelea kuwepo kote kila ninapopata nafasi kwa kesho ni kanisani tuu.Kesho unaenda kanisani au msikitini?
Vp wewe chief?Kesho unaenda kanisani au msikitini?
Mkuu kikao wapi leo ama unalinda ndoa??Haya tukuje kulinda wajameni.
Ndoa wapi ndugu,Napanga havipangiki.Mkuu kikao wapi leo ama unalinda ndoa??
Sipo hizo pandeVp wewe chief?
Nimeshinda nimelala,so usingizi hakuna,leo tutakesha mpaka asbhTumechelewa kidogo kuingia lindoni ila tupoo
🍺🍺
Sana,hasa mbaraka wa afya njema na uhaiMungu ni mwema sana