Tunashukuru tumerudi tena.
0234Hrs0155
Watu wamekimbia lindo au ndio wkend nn
Hahahah saa nne!!! Hiyo kali aisee.Muhimu kabisa , kurudi kwako ,
22:00 watu wapolindo , sielewi imekaaje !
Ila
Najua itakaa sawa chini yako uongozi wako...
Chai itasababisha watu kwenda msalani mara kwa mara hivyo ni hatari kwa lindoMkuu Sargent Kichwa Kichafu kutokana na ongezeko la baridi tunaomba angalau tuwe tunapatiwa chai wakati wa lindo
Mabundi tuna pita...Sargent Kichwa Kichafu onlyalvira Shadow7 na mapopo wote mda wetu wakujidai tayari
Itifaki imezingatiwa.....
Tumekuja mkuuSargent Kichwa Kichafu onlyalvira Shadow7 na mapopo wote mda wetu wakujidai tayari
Itifaki imezingatiwa.....
Mkuu ngoja tuendelee na majukumu yetu ya lindo sasa...Tumekuja mkuu
Ajira mpya hizi mkuuDuh huku walinzi wapya wengi kweli lindo hili noma
Kweli kabisaAjira mpya hizi mkuu