dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,412
- 19,436
Shem karibu sana!! ni kitambo kwelinimewamis sana watu wa humu..nitajitahidi nirudi aisee
naona wale wote wenye akili wako huku
Inna ndio kabisaa kanikimbia
Shem karibu sana!! ni kitambo kwelinimewamis sana watu wa humu..nitajitahidi nirudi aisee
naona wale wote wenye akili wako huku
naona tukirudi mmoja baada ya mwingine my shem..hali ilikaza na soon italegeza tu tutakaa sawa
Naam! Itakua poa, sana kwakweli.naona tukirudi mmoja baada ya mwingine my shem..hali ilikaza na soon italegeza tu tutakaa sawa
mimi mzima hope same kwako
Inna kanikimbia kabisaa, si kapata yule dalali wa nyanya kariakoo Saint Ivuga anatembelea makalio sasa hivi
uwiiii poor Saint Ivuga kama unamuonea vile@Inna kanikimbia kabisaa, si kapata yule dalali wa nyanya kariakoo Saint Ivuga anatembelea makalio sasa hivi
Ameeeeen.Nmekumiss wewe
Basi, mimi sina changu tenauwiiii poor Saint Ivuga kama unamuonea vile
pole shem as long uko na uzima amini utavukaBasi, mimi sina changu tena
Shem nilikua kwenye wakati mgumu sema, yote mema.
Amen!!pole shem as long uko na uzima amini utavuka
Nziri0312
Za leo jaman
Nipo mkuu,
Habari za weekend