Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,574
- 188,784
0600Hrs
Tukutane tena kesho 0000
Tuwe na jumanne njema wote.
Tukutane tena kesho 0000
Tuwe na jumanne njema wote.
Nilijidai nakula diet, ni kanywa glasi ya maziwa nikaiacha pilau jikoni ikiwa imepaliwa , kuna ndoto ya ajabu ilinistua ndo hio ikakata usingizi, nikiwaza kuamka uvivu na tumbo linanguruma tu.,Mkuu umeshtuka toka usingizini unakuta tumbo lipo empty
Nilijidai nakula diet, ni kanywa glasi ya maziwa nikaiacha pilau jikoni ikiwa imepaliwa , kuna ndoto ya ajabu ilinistua ndo hio ikakata usingizi, nikiwaza kuamka uvivu na tumbo linanguruma tu.,
Mie na diet za usiku ndo mwisho leo sitaki utani na mwili
Lala0159
Leo zamu yangu lindoLala
Tuko pamojaLeo zamu yangu lindo
0209
Uko umeacha lindo jumlaa 😐Mnasema nimelala, mada zote kule forum nachangia peke yangu!