Sijui imetokea wapi ,halafu mtoto wa kiume anaongea hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui asili yake so una haki ya kukaa kimya ama kuuliza..Unadhani anayeanika fedha hadharani na anayemuonya asifoke katika maisha ya kawaida jamii inampokea yupi? Huu msamiati hauna jinsia, kama wewe ni mwanaume ukampost mpenzi wako mzuri wenye wake wasio presentable wana haki ya kikatiba ya kuomba wasifokewe.
 
Kuna mtu humu JF nilimuuliza huu msemo umeanzia wapi akasema kwa TID lkn majuzi kati nikicheki TV nikaona anahojiwa TID khs msemo wa NI YEYE kutumiwa na Chadema then wakamhoji Baba Level khs msemo wake wa Usinifokee kutumika mitandaoni.

Akasema huo ni msemo kwny wimbo wake aliouachia majuzi kati,ndipo nikajua source ya msemo huu.
 
Ni baba levo ndio muasisi sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui asili yake so una haki ya kukaa kimya ama kuuliza..Unadhani anayeanika fedha hadharani na anayemuonya asifoke katika maisha ya kawaida jamii inampokea yupi? Huu msamiati hauna jinsia, kama wewe ni mwanaume ukampost mpenzi wako mzuri wenye wake wasio presentable wana haki ya kikatiba ya kuomba wasifokewe.
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20190529-WA0034.jpg

Ngoja nimalizie kinywaji changu nikamfate mama Bhoke nyumbani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom