Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,184
- 45,911
Mkuu tumia saa yetu02:08
Mkuu tumia saa yetu02:08
UmanyejeMida ya wakubwa hii, ulinzi nliacha ngoja nikamshughulikie kaka yenu.
I hope uta enjoyAsante!!
Hahahaha, kwann MkuuMkuu tumia saa yetu
Unaenda wapiNapita
Unaenda wapi
Hahahaha, mapema yote hiiNaenda kulala
Kweli tena.Wakeshaji wameongezeka kutokana na stress za maisha
Kwema. Habari za siku nyingi kiongoziKwema walinzi humu?
Kwema kabisa, ushasogea lindoni?Kwema walinzi humu?
Dada Habari mwaaaaaah Dada anguAmbiele uko salama? Umemisiwa huku na Astelia
Nzuri mkuu.Kwema. Habari za siku nyingi kiongozi
NipoKwema kabisa, ushasogea lindoni?
Karibu lindo kiongozi. Naona muda bado kidogoNzuri mkuu.