majalas Son
Member
- Dec 31, 2013
- 36
- 10
Tupo tilalila twagalauka
haya ukimaliza funga mlango zi mataa ss tunatangulia kulala kesho tunatekeleza majukum ya muheshimiwaTupo tilalila twagalauka
Muamshe uangalie naye uone ugomvi wakehapa mimi niko na check movie bibie kageukia upande wa pili
Bundi hana shidaKuna bundi anaimba hapo nje kwenye mti, na mimi najishangaa usingizi umekata!!.
Inachukua mda gani kufanya mapenzi baada ya mwanamke kujifungua .
Utaibiwa, ukiwa zamu marfuku kupiga mtungi..Tupo tilalila twagalauka
Nakupenda
Hpana mkuu mambo ya usingizi kumbe nimeenda live, nlijua nipo kwingine.mmi au
ila hata ukifanya kweli sio mbaya siunjua na wengine ni bachela tunatafuta pakutulia kidogoHpana mkuu mambo ya usingizi kumbe nimeenda live, nlijua nipo kwingine.
Namtafuta Mlinzi wa kike