Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,096
- 61,498
Sawa utatupa MrejeshoI will do so, iki shindikana acha kila mmoja afate njia yake.
Maana amani iki shindikana mkiwa vijana, uzeeni ni kutafutiana lawama.
Uki zingatia Mimi ndo think tank.
Maandiko yanasema "Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza, ndugu wakikaa pamoja Kwa umoja"
Zaburi 133:1
I wish you best of luck 🙏🙏🙏