dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Nilikua home tu,Jana umekua wap?
Nilikua home tu,Jana umekua wap?
Ulitekwa na naniNilikua home tu,
Na bitcoinUna sh ngap?
Wewe sikukuona humu ♡LAAZIZ♡Jana umekua wap?
Vitamin p jee nayo huijui!!?Itakuwa sijui
Hukuja hapa nmekungoja weee nilivoona hutokei nkasepa zanguNilikua home tu,
aisee!!! HongeraJooh c kiivyo nina task ya wanao shule ikipita hyo majukum yana pungua ndio one tym balimi kiaina
Na Inna comradeUlitekwa na nani
Jamani,Hukuja hapa nmekungoja weee nilivoona hutokei nkasepa zangu
nisamehe bure ♡MAMIYE♡Saa kumi kasoro dakk61Ni saa ngp huko? Huku ni asubuhi
Bado majogoo hayajawika hukuNi saa ngp huko? Huku ni asubuhi
Umekuwa - UlikuwaJana umekua wap?
Ndio mkuuVitamin p jee nayo huijui!!?
Kamanda kila siku unauliza hili swali kwani upo nchi gan mwenzetuNi saa ngp huko? Huku ni asubuhi
Asipofika bei nishtueUna sh ngap?

Yaani kwa jeuri uliyo nayo unaweza fanya mtu ajinyonge kabisa.Hukuja hapa nmekungoja weee nilivoona hutokei nkasepa zangu

Asee!!Umekuwa - Ulikuwa

Tz tu huyo anazinguaKamanda kila siku unauliza hili swali kwani upo nchi gan mwenzetu
Haha ujue me na ww tumetoka mbali....lile swala lako nashughulikiaYaani kwa jeuri uliyo nayo unaweza fanya mtu ajinyonge kabisa.![]()