James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,547
cc: ISIS

Sasa hivi tupo benchi hadithi hamna aisee hapa ndio tutakapomkumbuka ibra wetuShunie mama hadithi na riwaya nakuonaa nakuonaa
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app

kwahiyo ulilala kabisa aisee na mie inabidi anifundishe si kwa upopo huu

kwahiyo ulilala kabisa aisee na mie inabidi anifundishe si kwa upopo huu
Nililala kabisa japo iceman alikuwa ananisumbua baada ya kichwa kichafu kunitelekeza lakini nilipiga moyo konde nikafata ushauri wa mwalimu na kulala usingiz kabisa

akuje na mie anifundishe jamaan nilaleIbraa daaa jamaa kasepa kibabee ujueeSasa hivi tupo benchi hadithi hamna aisee hapa ndio tutakapomkumbuka ibra wetu![]()

Sijui nimefikaje hapaa
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app

Acha tu ni kumuombea kwa Mungu tu ampumzishe mahali pema peponiIbraa daaa jamaa kasepa kibabee ujuee![]()
![]()
pengo lake halitazibika tutamkumbuka sana wapenda riwaya
Sema shunie umesoma ma hadithi mengi mengi fanya kutumalizia "nitakupata tu"![]()
![]()
![]()
ntaimalizia vipiii jamaan aliyeianza hayupo na ibra alikuwa anatunga papo kwa papo
Mpendwa wangu![]()
![]()
ntaimalizia vipiii jamaan aliyeianza hayupo na ibra alikuwa anatunga papo kwa papo
Kile kipaji ilitakiwa urithi wewee![]()
![]()
ntaimalizia vipiii jamaan aliyeianza hayupo na ibra alikuwa anatunga papo kwa papo
Kidogo kidogo mkuu tupo na NeyShunie na victor bravo naona mnautendea haki uzi
Mpaka saa 11 hiiii ngoma mkuuShunie na victor bravo naona mnautendea haki uzi
Kuna vitu vinakuja automatically aisee sio kila kitu cha kuigaKile kipaji ilitakiwa urithi wewee
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Ni jambo la faraja sana kuona kuwa siko peke yanguKidogo kidogo mkuu tupo na Ney