Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Jirani jana magunia ya usingizi yaliteka macho yanguJirani uko wapi nimerudi mwenzio sikuoni tena

Jirani jana magunia ya usingizi yaliteka macho yanguJirani uko wapi nimerudi mwenzio sikuoni tena

ahsante kwa kunimissAmkaa nimeku miss atiii
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
Ukionionea Manga mwambie namtafuta jamanhayaaaaa
mida hiyoooo
Jana ulinisaliti sitaki tenaJirani yangu nakuita mapema kabisa.


Ney jaman mzima mamyJana ulinisaliti sitaki tena![]()
Mzima shunie wangu vipi wewe?jana sijakuona kabisaNey jaman mzima mamy
Mzima dia jana nilitoka mapema kwenye saa mbili hiviMzima shunie wangu vipi wewe?jana sijakuona kabisa
Okey hamna neno, nimefurah kuona uwepo wako leoMzima dia jana nilitoka mapema kwenye saa mbili hivi
Asante mpenzi nimefurahi pia ukinionea Manga mwambie nilikuwa namtafutaOkey hamna neno, nimefurah kuona uwepo wako leo
Hamna neno ujumbe umeuacha mahali sahihi Manga mwalimu wangu jana alinisaidia nikapata usingiz jamani popote alipo nitamwambia wamtafutaAsante mpenzi nimefurahi pia ukinionea Manga mwambie nilikuwa namtafuta

Sasa wewe umeenda wapi tena jamani?hayaaaaa
mida hiyoooo
Hamna neno ujumbe umeuacha mahali sahihi Manga mwalimu wangu jana alinisaidia nikapata usingiz jamani popote alipo nitamwambia wamtafuta![]()



kwahiyo ulilala kabisa aisee na mie inabidi anifundishe si kwa upopo huu


