Ukifanikiwa kujitengenezea 'ecosystem' kwenye hilo eneo, wewe tayari ni tajiri.Ule mpango wa kuhamia nje ya mji nautekeleza zipo ekari 12 zitatosha karibu Jirani
eeehYou need a wolf to catch a wolf dosho12. 🤣🤣🤣 Play ur cards accordingly.🤸🤸
umeanzahapa nimalizie hii chupa yangu taratibu nione wadekaji na wadekezaji
hahahahahaha
hahahahahahaasipoelewa ndo basi hatuna msaada nae tena🤣🤣
kuanza nini?umeanza
hebu punguza kucheka useme jambohahahahahaha
kunywa biakuanza nini?
Wanafikiri wewe ni church girl,,,,hawaoni hizo punchline occupies,taking cover,hawajiulizi tu you need a wolf to catch a wolf🤣🤣You need a wolf to catch a wolf dosho12. 🤣🤣🤣 Play ur cards accordingly.🤸🤸
bila kunywa hii kichwa haipati usingizi,ina mambo mengi sanakunywa bia
ok enjoybila kunywa hii kichwa haipati usingizi,ina mambo mengi sana
Mwaka wa Mbele yupo na mkewe sasa hivi!njoeni tuchart mnipe dawa ya maumivu ya moyo,, kifua changu kinawaka moto kwa uoga
hapa nikisoma wadekaji na wadekezwaji na enjoy zaidiok enjoy
Ebu we cha fujo nieleze inakuwaje hutaji jina langu lakini ninakuwa mentioned,mchana kule kwenye chakula uliniita kwa shem X nikawa mentioned,,inakuwaje hii cha kudekamfano mzuri ni huyu jirani yangu kutoka jiji la miamba dosho12 hapa bado Tajiri wa goba hajafika baba huruma😄😄
Mkuu taratibu 🤣🤣🤣Wanafikiri wewe ni church girl,,,,hawaoni hizo punchline occupies,taking cover,hawajiulizi tu you need a wolf to catch a wolf🤣🤣
Wakishua mna tabu!yani acha tu jirani, bado kunayo haya matukio mengine ya wizi n.k, eeeh hata sitamani kuyakumbuka😔,,
haya nambie nifanyaje ili nikae sawa overthinker mie maan kitu kikiniganda huwa inakua kazi kukitoa😅
anamueleza hawezi kuishi bila yeye😄Mwaka wa Mbele yupo na mkewe sasa hivi!