Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,697
- 96,617
mbn nasemahebu punguza kucheka useme jambo
mbn nasemahebu punguza kucheka useme jambo
khaaaa😄😄Wakishua mna tabu!
Hapa ndo utaona najua kukuchagulia vitu! Tusubiri aliye singleanamueleza hawezi kuishi bila yeye😄
hahahaha, lazima utofauti uwepo humuWakishua mna tabu!
nidekeze kwanza ili nikuelekeze😄😄😄Ebu we cha fujo nieleze inakuwaje hutaji jina langu lakini ninakuwa mentioned,mchana kule kwenye chakula uliniita kwa shem X nikawa mentioned,,inakuwaje hii cha kudeka
......nidekeze kwanza ili nikuelekeze😄😄😄
Moyo unakuuma kisa mtoto wa 5 ameachwa home peke yake.khaaaa😄😄
naomba nishukie hapa da pip,, sasa ukishua upo wapi jamni
Leo unataka kulala hotel gani hapa mjininidekeze kwanza ili nikuelekeze😄😄😄
kwa kweli hamna namna, ila saivi hakuna alie single labda tusubiri atakae achika ndo tumnyakue chap kabla hajarudisha majeshiHapa ndo utaona najua kukuchagulia vitu! Tusubiri aliye single
sawa sawaMoyo unakuuma kisa mtoto wa 5 ameachwa home peke yake.
Huku uswahilini mtoto wa 5 ana wadogo zake wawili wazazi wanaenda kutafuta hela yeye anabaki anawahifumia wadogo zake na chakula cha mchana anapika.
hivi mie sio single kweli?kwa kweli hamna namna, ila saivi hakuna alie single labda tusubiri atakae achika ndo tumnyakue chap kabla hajarudisha majeshi
Si ndy hapo na mimi nashangaaMoyo unakuuma kisa mtoto wa 5 ameachwa home peke yake.
Huku uswahilini mtoto wa 5 ana wadogo zake wawili wazazi wanaenda kutafuta hela yeye anabaki anawahifumia wadogo zake na chakula cha mchana anapika.
Na kweli! Unashangaa mkaka lizuri linakutongoza lazima ujiulize huyu hana mtu kweli?kwa kweli hamna namna, ila saivi hakuna alie single labda tusubiri atakae achika ndo tumnyakue chap kabla hajarudisha majeshi
dah wakali wa hizi kazi washafikaLeo unataka kulala hotel gani hapa mjini
miaka mitano anajua kupika nini jamni,, huo ni unyanyasaji kabisaMoyo unakuuma kisa mtoto wa 5 ameachwa home peke yake.
Huku uswahilini mtoto wa 5 ana wadogo zake wawili wazazi wanaenda kutafuta hela yeye anabaki anawahifumia wadogo zake na chakula cha mchana anapika.
Nakualika kwetu uswahilini ujionee maajabumiaka mitano anajua kupika nini jamni,, huo ni unyanyasaji kabisa
mi sio wa kishua ila nina moyo mdunchu😄 nataka mtoto alelewe kitoto asipitie maisha ya upweke na ukomavu ilihali bado hajafika huko