ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,961
- 73,235
Ina shida ganiHivi dunia ya sasa bado kuna watu mnakula kababu
Ina shida ganiHivi dunia ya sasa bado kuna watu mnakula kababu
Hahahaha 🤣 🤣,sawa sawautaniharibia ndoa yangu kwa mubaba naomba utulie kijana mdogo ohoooo😆
😅😅Hahahaha 🤣 🤣,sawa sawa
Hahahaha ,vijana Wana fujo sana
umeona eeeh,, hawajali hata kama mubaba wangu una presha, saiv nitawakataa kwa nguvu zote😉Hahahaha ,vijana Wana fujo sana
Nadhani LENGO lao waniue kwa presha,warithi,hawa Gen Z Wana haraka sanaumeona eeeh,, hawajali hata kama mubaba wangu una presha, saiv nitawakataa kwa nguvu zote😉
usijali mubaba, sitoruhusu wakupiku🥰, yani ni mimi na wew mpka kiamaNadhani LENGO lao waniue kwa presha,warithi,hawa Gen Z Wana haraka sana
Hahahaha, mmmh 🙌usijali mubaba, sitoruhusu wakupiku🥰, yani ni mimi na wew mpka kiama
hautaki tena?mbona unaguna😢Hahahaha, mmmh 🙌
Hahahaha,Kuna MTU hapendi kupendwa? Tena kupendwa milele 😂hautaki tena?mbona unaguna😢
aya tulia nikupende au uhangaike nikurogee 💃😅😅😅😅Hahahaha,Kuna MTU hapendi kupendwa? Tena kupendwa milele 😂
Natulia vzr sana,kurogwa tena,hapa yenyewe ushanirogaaya tulia nikupende au uhangaike nikurogee 💃😅😅😅😅
😅😅😅Natulia vzr sana,kurogwa tena,hapa yenyewe ushaniroga
Usiongeze kitu,utaniua hii dozi ulionipa inatosha
Naona kuna mwamba apo anapambania kitumbua kisije kikaingia mchanga😂
Uyo jamaa mchune penshen tuuaya tulia nikupende au uhangaike nikurogee 💃😅😅😅😅
Hahahaha,🙌, dahUyo jamaa mchune penshen tuu
Alafu ukija kwangu nakupa furaha every time
Uoga wa nini?njoeni tuchart mnipe dawa ya maumivu ya moyo,, kifua changu kinawaka moto kwa uoga
nikusimulie?Uoga wa nini?