nikamwambia oooh sawa, sasa hapo nyumban kuna kijana ambae anasaida kazi ndog ndogo za kiume ni cousin kwahiyo nikamuuliza je flani yupo akasema hapana kaenda kwao kusalimia ila hajarudi, eeh nikamwambia poleni kwahiyo mmenda shule mkafunga nyumba, akanambia hapana baby alibaki (yani huyo bby ni mtoto wa class one) nikamuuliza sababu nini kasema et alisema anaumwa kikohozi, yan nikajikuta roho inauma how come kitoto cha miaka mitano kibaki pekeake nyumbani wakati ule mji ni mkubwa mi mwenyew siwezagi kubaki pekeangu😔,, nikaanza kuwaza na ujinga what if tatizo lingemkuta huyo baby ndo angekoswa msaada kabisa?!,, basi tukaongea vitu vingine nikamuaga then nikakata simu,
story imeishia hapo na moyo wangu ndo umeugulia maumivu kwa style hiyo hii yote ni kwasababu kumbukumb za matukio ya ajabu yameniijia akilini mwangu