dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,768
- 13,067
Ndionikusimulie?
Ndionikusimulie?
okNdio
Nimemalizaok
nimepiga simu ya nyumbani ambayo ni ya dharura huwa ipo tu anapokea yeyote alie karibu lengo niongee na bi mkubwa maana simpati kwa simu yake na jana alinambia anashuhuri mahali ko nilitaka kujua imeendaje, basi kapokea mtoto wa sstr angu ni mkubwa tu nikamuuliza habar za mama akanisimulia akanambia kumbe shuhuri ilikua jana ile ile kwahiyo aliondoka jana na amerudi leo...........
ukimaliza nambie niendelee
Pole sananjoeni tuchart mnipe dawa ya maumivu ya moyo,, kifua changu kinawaka moto kwa uoga
nikamwambia oooh sawa, sasa hapo nyumban kuna kijana ambae anasaida kazi ndog ndogo za kiume ni cousin kwahiyo nikamuuliza je flani yupo akasema hapana kaenda kwao kusalimia ila hajarudi, eeh nikamwambia poleni kwahiyo mmenda shule mkafunga nyumba, akanambia hapana baby alibaki (yani huyo bby ni mtoto wa class one) nikamuuliza sababu nini kasema et alisema anaumwa kikohozi, yan nikajikuta roho inauma how come kitoto cha miaka mitano kibaki pekeake nyumbani wakati ule mji ni mkubwa mi mwenyew siwezagi kubaki pekeangu😔,, nikaanza kuwaza na ujinga what if tatizo lingemkuta huyo baby ndo angekoswa msaada kabisa?!,, basi tukaongea vitu vingine nikamuaga then nikakata simu,Nimemaliza
asante mubaba wangu😊Pole sana
Dah! Ni hatari kweli kwa mtoto kubaki peke yake na sasa hivi kumekuwa na matukio ya nyumba kuwaka moto anaweza chezea kitu kumbe kasabisha moto.nikamwambia oooh sawa, sasa hapo nyumban kuna kijana ambae anasaida kazi ndog ndogo za kiume ni cousin kwahiyo nikamuuliza je flani yupo akasema hapana kaenda kwao kusalimia ila hajarudi, eeh nikamwambia poleni kwahiyo mmenda shule mkafunga nyumba, akanambia hapana baby alibaki (yani huyo bby ni mtoto wa class one) nikamuuliza sababu nini kasema et alisema anaumwa kikohozi, yan nikajikuta roho inauma how come kitoto cha miaka mitano kibaki pekeake nyumbani wakati ule mji ni mkubwa mi mwenyew siwezagi kubaki pekeangu😔,, nikaanza kuwaza na ujinga what if tatizo lingemkuta huyo baby ndo angekoswa msaada kabisa?!,, basi tukaongea vitu vingine nikamuaga then nikakata simu,
story imeishia hapo na moyo wangu ndo umeugulia maumivu kwa style hiyo hii yote ni kwasababu kumbukumb za matukio ya ajabu yameniijia akilini mwangu
yani acha tu jirani, bado kunayo haya matukio mengine ya wizi n.k, eeeh hata sitamani kuyakumbuka😔,,Dah! Ni hatari kweli kwa mtoto kubaki peke yake na sasa hivi kumekuwa na matukio ya nyumba kuwaka moto anaweza chezea kitu kumbe kasabisha moto.
Ningekwambia ingia tik tok ila najua ukienda kulala tu lazima akili ikurudishe kwenye matukio ya siku ya leo, labda shukuru tu mungu amekuwa salama huenda itasaidia,yani acha tu jirani, bado kunayo haya matukio mengine ya wizi n.k, eeeh hata sitamani kuyakumbuka😔,,
haya nambie nifanyaje ili nikae sawa overthinker mie maan kitu kikiniganda huwa inakua kazi kukitoa😅
leo ulale mapemaasante mubaba wangu😊
ndo maan nimekuja huku tuchart ili nipate relief,, nisimulie hadithi basi😊Ningekwambia ingia tik tok ila najua ukienda kulala tu lazima akili ikurudishe kwenye matukio ya siku ya leo, labda shukuru tu mungu amekuwa salama huenda itasaidia,
Mi naweza kukaa na kitu hata siku mbili na mara nyingi kinakuja nikitaka kulala au nikiwa peke yangu au sina cha kufanya au wa kuongea nae
nitajitahidi😊leo ulale mapema
Sijui kusimulia kabisa😁nisimulie hadithi basi
Pole yetu😅opsss na wew ni over thinker?😄😄pole yetu kama jibu ni yes
itapendeza,ingawa najua huwezinitajitahidi😊
kwanini haujui sasa😏,,, ok unajua nini labda twende na unachojua😄Sijui kusimulia kabisa😁
Pole yetu😅
nitaweza kwa ajili yako😻itapendeza,ingawa najua huwezi
hahahahanitaweza kwa ajili yako😻
Giza limeanza kuingia, njoonije wapi tena
Ngoja nifikirie stori ya kukusimulia 😁kwanini haujui sasa😏,,, ok unajua nini labda twende na unachojua😄
asante kubwa 😄😄 ila mi nipo kwenye darasa la kujifunza kuacha nataka niwe yule "I dont care"
usichelewe sana basi maan unaweza kufikiria mpka kesho😅😅😅Ngoja nifikirie stori ya kukusimulia 😁