JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tatizo mm niko serious afu mwenzangu anachukulia jokes..

Au najibu sana comment Ndo mana anaona siko serious?
We umeanza kunichamba
Sijui huji mi nikinuna huyu binti humpati 😏
Yaan nilishakubari ebebe goma unaanza story za fuko la mashine
Yaan lilivyolegea 😀😀
 
Nipo mbezi qb lounge. Mfukoni nina pesa nyingi kama serikali. Kama kuna mwanajf yoyote ambae yupo around asogee hapa. Gharama zote za usafiri(wa kuja na kuondoka), chakula na vinywaji ni juu yangu
 
Back
Top Bottom