Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,368
- 7,969
Babe mie mzima.. karibu tulale..naendelea vizuri kipenz hofu kwako
Nipunguzie hasira kasemajePost ya mange imenitia hasira sana asee usingizi umekata kabisa
asante, nakujaBabe mie mzima.. karibu tulale..
Kuna niche flan ndogo sana inaitafuna sana hii nchi,sio kasema ni kaweka evidenceNipunguzie hasira kasemaje
Hayo mambo yanaumiza, especially ukiwa huku unaunga unga 😃 waweza pata presha kizembeKuna niche flan ndogo sana inaitafuna sana hii nchi,sio kasema ni kaweka evidence
Sawa babe , usiku mwema..0112 byeee 100 others toka online pulizzz kesho usichelewe kazin drn
Mimi niko JF hapa nimetoka Tik Tok huko nimezurura weee nimeona nije JF kidogo.Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!