Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
don't call me a nigga, that's a big disrespect.Why Nigga
don't call me a nigga, that's a big disrespect.Why Nigga
Maingate uje na utambulisho mzuri .Location wapi, ndio natoka now kuingia kindo rasmi, niko patrol
Okay , Ur not okaydon't call me a nigga, that's a big disrespect.
in fact you're the one who is not okay, cause you can't just appear somewhere na mdomo wako uki bwajaja hovyo.Okay , Ur not okay
Nije tulale?Mchuchu Cammilla kulala sio dhambi
Nah, kitanda changu kina nitosha mwenyewe 😂Nije tulale?
Saa 3:12 pm ndio ntafika home nkitoka the voice tabata.Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Hahahahaha,nakabidhi silahaMaingate uje na utambulisho mzuri .
Acha uchoyo wewe kaka.Mimi siondoki nayoNah, kitanda changu kina nitosha mwenyewe 😂
wewe wacha matumizi ya bhangiAcha uchoyo wewe kaka.Mimi siondoki nayo
😀😀😀😍😍😍wewe wacha matumizi ya bhangi
Mungu nifundishe kunyamaza😀😀😀😍😍😍
😀😀😀Mungu nifundishe kunyamaza
Uko poa rafiki?
.....Mungu nifundishe kunyamazaUko poa rafiki?