mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,993
- 2,938
LINDO lipo shwari mashariki mw TZ walinzi wengine siwaoni
Tunakuangalia tu . Hali ni Shwari mpaka 0114 how do you copy?LINDO lipo shwari mashariki mw TZ walinzi wengine siwaoni
Location wapi, ndio natoka now kuingia kindo rasmi, niko patrolTunakuangalia tu . Hali ni Shwari mpaka 0114 how do you copy?
Huku ni wapi?01: 57 into the enemy den
Just practice meditation you gonna become on ur way Nigga.02:08 Leyenda
Mbona mna penda kutoa ushauri kwa watu, ikiwa wenyewe hawaja waomba mfanye hivyo?Just practice meditation you gonna become on ur way Nigga.
Why NiggaMbona mna penda kutoa ushauri kwa watu, ikiwa wenyewe hawaja waomba mfanye hivyo?
halafu kwa kingereza chenyewe Cha manati hivi 🤔
Huku kwema kabisa, niko nasoma kitabu cha kikomo by Willy gamba hapa.Nipo Salama sana Intel...
Kwema kaka