Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
01:32 I mean no malice to nobody
Pole mkuu utakuwa okay soon.Nipo hospitali hapa ndio nimetoka kuoga naona wagonjwa wenzangu wote ziiiii.
04:54
Kabisa, nililetwa jumatano nikiwa sijitambui nimepata fahamu alhamisi asubuhi.Pole mkuu utakuwa okay soon.
Nili lala kama pono
Pole sana expert wangu,get well soonKabisa, nililetwa jumatano nikiwa sijitambui nimepata fahamu alhamisi asubuhi.
Lakini mpaka sasa ni kama nimepona maana kila kitu nafanya mwenyewe, hata kwenda baadhi ya vipimo situmii wheel chair nachapa mguu tu.
Habari ya asubuhii chief, jumatano tulivu tukapambane Tena👊Nili lala kama pono
Ahsante sana, wamesema wananiruhusu leo ila itabidi niwe nahudhuria clinic ya moyo.Pole sana expert wangu,get well soon
Ni mwendo wa SHOKA MOJA MBUYU CHINI.Habari ya asubuhii chief, jumatano tulivu tukapambane Tena👊
Pole Sana mkuu,Ahsante sana, wamesema wananiruhusu leo ila itabidi niwe nahudhuria clinic ya moyo.
Naaam ikawe khery,Ni mwendo wa SHOKA MOJA MBUYU CHINI.
WORK SMART, WORK HARDER 💪
Ahsante sana.Pole Sana mkuu,
Sawa expert wangu,kikubwa kufuata ushauri wa daktariAhsante sana, wamesema wananiruhusu leo ila itabidi niwe nahudhuria clinic ya moyo.