Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
01:06 suicide thought
Bonge moja la Ngoma, 50 ana sema I'm a musician, actor, entrepreneurWacha niingie YouTube faster
I tried to help niggaz get onNope, 50 ft em & adam Levine
Naam, Eminem kamzika chapI tried to help niggaz get on
They turned around and spit.
50 kauwa lakini vesi moja ya Eminem ni kama vesi mbili Za 50
Mimi napitia makala mbaliambali za makomando waliotangulia mbele za haki Lt Rajab Ahmed Mlima na Lt james cosmass kapibe 🫡Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Citizen 2+ tramadol 1 kwisha kazi.Nipeni dawa ya usingizi
Zimefanya sugu.. siziskii..Citizen 2+ tramadol 1 kwisha kazi.
Soma hapaNipeni dawa ya usingizi
Asante sana mkubwa.. nitafanyia kaziSoma hapa
![]()
Usingizi bora
Jifunze kuhusu kile kinachokuzuia kupata usingizi mzuri usiku, na pata vidokezo vikuu vitano vya kuboresha elimusiha yako ya usingizi kutoka kwa madaktari wetu na kuitunza afya yako.ada.com
Kupishana lindo mtoto wa kike si mchezo!Soma hapa
![]()
Usingizi bora
Jifunze kuhusu kile kinachokuzuia kupata usingizi mzuri usiku, na pata vidokezo vikuu vitano vya kuboresha elimusiha yako ya usingizi kutoka kwa madaktari wetu na kuitunza afya yako.ada.com
Huzijui hataZimefanya sugu.. siziskii..