Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
😆😆 Safi tuu nmekumiss hapaHabari ya nje ya nchi manka🙄
😆😆 Safi tuu nmekumiss hapaHabari ya nje ya nchi manka🙄
Dada wa kichaga Hope urassa Mbotoro meenzioNan aliacha lindo wazima Jan mbona siyo kawaida
😳😳Dada wa kichaga Hope urassa Mbotoro meenzio
Fake P jukwaa limefunguliwa rasmii mkaribishe na best ako mchagDada wa kichaga Hope urassa Mbotoro meenzio
Okay apo nimekuelewa sasHuyo sikuhizi mpaka aombe ruhusa kwa nanilinino
nambie mwenyekiti wetu wa walinziWalinzi wamelala . Hii ni ajabu
acha kumsumbua mummy anguMadame B unakuja lini dsm!?
mbona hawa alikuwa na mwanaume mmoja adamuSema Mummy wetu hujui kuwa hakuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja!?
Shetani je!? Hujui shetani alivyojamiana nae ndo sababu kuu ya sisi kuteseka huku duniani!?mbona hawa alikuwa na mwanaume mmoja adamu
shetani hakuwa na mahusiano na hawa yeye sio mwanadamuShetani je!? Hujui shetani alivyojamiana nae ndo sababu kuu ya sisi kuteseka huku duniani!?
Mbona alimtongoza hadi akakubali kula tundashetani hakuwa na mahisiano na hawa yeye sio mwanadamu
shetani hakumtongoza kimapenzi yeye sio mwanadamu bali alimdanganya kuhusiana na lile tunda mungu alilo kataza asileMbona alimtongoza hadi akakubali kula tunda