JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Madame B unakuja lini dsm!?
acha kumsumbua mummy angu
mbona hawa alikuwa na mwanaume mmoja adamu
wewe uhusiano naye umeanza lini ?
Ni siri yetu hiyo ila mwezi huu nilimfukulia kaburi la miaka ya 2013 huko akasema atanipa maufundi flani flani 😄😄
Yuko dom nataka aje dsm tufanye yetu ramada hotel
Madame B kwahiyo una wanaume wengine mimi naona tuachane🙄
Hapana, mbona uko peke yako laaziz?
Madame B umesikia nakuacha kwa hili🙄
Thubutu siachiki mimi.
🤣🤣🤣🤣🤣 Poleee mkuu let's share acha kususa
PSL god ujue nikiachika na huu ushangazi nani atanitaka? Mbona Genius Man ananimudu tu.
Nikiachika ujue nakuja kwako mazima🥺🥺🥺
 
Mie usingizi sina leo, kuna ki ex ka mume wangu ka tambooo sijamfahamu. Kanaanza kuvizia, nimekaota juzi usiku anataka kumdaka kwa msosi.

Sasa hapa namuangalia kalala natamani, kwa muda fulani sura iwe mbaya na pesa zimkaukie aonekane alosto.

Wamakimbie

Nimesali naamini hatadakwa.. Wanawake na mavyakula kusaka wanaume imezidi sana tena walio kwa ndoa. Na sifafutagi viumbe hivi.. Ngoma ya sala itawakimbiza tu na sigombani na mume wangu.
 
Back
Top Bottom