Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,907
- 82,172
1:40 AM Alhamdullilah for everything and another beautiful day
Huu ubuyu vipi😳🤣11:52 PM Unajiita kigogo na unakaa kwenu 🤣😁 kazi una pesa una bando una kopa na kuomba omba na bado una sifa ya umbea umbeya yaani unaenda inbox na kuomba pesa Tena ya mtoto wa kike 🤣😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Sana yaani afu una kuja na mvua 😭Huu upepo unatisha 😓😓
Sana yaani afu una kuja na mvu
Aiseeee😩😩😩😩😩😩😩Sana yaani afu una kuja na mvua 😭
Powaaa rafiki yangu upo gudiVincenzo Jr mambo,?
Wapi huko? Usikute Miss Hidaya ndio anaingia😀😀Huu upepo unatisha 😓😓
Nko poa alhamdullilah, mabakuli ni nani?Powaaa rafiki yangu upo gudi
😁😂😁😁 Njoo pm nikuelezeeeNko poa alhamdullilah, mabakuli ni nani?
Nani huyu Vincenzo JrMatajiri kutoka kusini mwa jangwa la Sahara hawana matusi ni kuwekeza pesa tu ukiona wanatukana ujue ni waomba afu tatu