JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nipo hapa full equipped..... Nipo lindoni
 

Attachments

  • 17147652794152083490721548387522.jpg
    17147652794152083490721548387522.jpg
    937.3 KB · Views: 13
Uki nichukia sikosi pumzi au hela so hilo kwangu sio kesi.

ukiona una weza tu post bank statement, tumalize tetesi.

Uta chagua nmb au crdb, au zote !?. Mi safi tu.
 
11:52 PM Unajiita kigogo na unakaa kwenu 🤣😁 kazi una pesa una bando una kopa na kuomba omba na bado una sifa ya umbea umbeya yaani unaenda inbox na kuomba pesa Tena ya mtoto wa kike 🤣😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom