Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,440
Nipo kila siku- mkuu, jana nime fubga lindo mwenyewe.Kijana upo? Leo nimepakumbuka nyumbani kidogo
Nipo kila siku- mkuu, jana nime fubga lindo mwenyewe.Kijana upo? Leo nimepakumbuka nyumbani kidogo
Kampuni kabisa ya ulinzi tumaiajiri, sasa sijui na hizi mvua walinzi walienda kujificha? Au ndio hivyo tena usiku wa manane walilala
Majukumu ya kazi yanazidi kuongezeka. Muda wa kutumia simu unazidi pungua. Leo tutakua pamoja mkuu
Kuna mguu wa kuku 😃Vipi we kwako SI una jambia 😁😄
Duh poleni sanaaKampuni kabisa ya ulinzi tumaiajiri, sasa sijui na hizi mvua walinzi walienda kujificha? Au ndio hivyo tena usiku wa manane walilala
Kaka 😁😅😁😁😁😂😂
Zee Lina sinzia ka konokono😁🤓Majukumu ya kazi yanazidi kuongezeka. Muda wa kutumia simu unazidi pungua. Leo tutakua pamoja mkuu
Zee Lina sinzia ka konokono😁🤓, ngoja tuone Leo😁Majukumu ya kazi yanazidi kuongezeka. Muda wa kutumia simu unazidi pungua. Leo tutakua pamoja mkuu
Leo tutakua wote🏃Zee Lina sinzia ka konokono😁🤓, ngoja tuone Leo😁