Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,072
- 33,777
πππAah bado upo hai mzeeπKaka ππ πππππ
πππAah bado upo hai mzeeπKaka ππ πππππ
Story ndefu kamanda.. acha tu.. ila tulikua lindo la Chaka
MvuA hizi kaka zinafanya nisiwe mlinzi naishia kuhudumia mtoto wa mtu usiku kucha kaka πππππAah bado upo hai mzeeπ
Ko uli ingia viwanja ??, kitambaa au Juliana??Story ndefu kamanda.. acha tu.. ila tulikua lindo la Chaka
Dah hii baridi kidogo unaweza uza mechi. Nachoweza washauri vijana, kabla ya kutoka out, wafikirie ndugu zako, wazazi na wadogo zako kwanza. Asanteni.Ko uli ingia viwanja ??, kitambaa au Juliana??
Hisia ni mzigo mbaya Kwa kijana, huu Uzi nili uandika Mmu.Dah hii baridi kidogo unaweza uza mechi. Nachoweza washauri vijana, kabla ya kutoka out, wafikirie ndugu zako, wazazi na wadogo zako kwanza. Asanteni.
Hili baridi limenifanya nashindwa kukesha hapa MkuuππDah hii baridi kidogo unaweza uza mechi. Nachoweza washauri vijana, kabla ya kutoka out, wafikirie ndugu zako, wazazi na wadogo zako kwanza. Asanteni.
Yaani bora ushinde hapa mzee.Hili baridi limenifanya nashindwa kukesha hapa Mkuuππ
Nipo hapa kila nikiowaona mafundi seremala nahisi wananiandalia mimi jeneza.Hisia ni mzigo mbaya Kwa kijana, huu Uzi nili uandika Mmu.
Ila hii kauli utakuwaa Usha uza mechi weeππ.
Ngono SI salama, Mimi kuliko kwenda kiwanja Bora nipike au niende restaurants nikale msosi mzuri.
Kisa nini π€??Nipo hapa kila nikiowaona mafundi seremala nahisi wananiandalia mimi jeneza.
πππKaka mkamwacha Intelligent businessman kalalamika usiku kuchaπ€£MvuA hizi kaka zinafanya nisiwe mlinzi naishia kuhudumia mtoto wa mtu usiku kucha kaka ππ
Sija lalamika, coz Mimi ni Mlinzi ieshinla mtu 1.πππKaka mkamwacha Intelligent businessman kalalamika usiku kuchaπ€£
Umewaza nini chiefDunia ingekua na option kama simu, unaamua uweke dark mode wewe kwako masaa 24 ni giza tu.
Sipendi mwanga man.Umewaza nini chief
Kaka hapo sio kulalamika, mbona huja leta zile za ku diss Walinzi wengine waoga πππHata me naonaππ
Me nimeziona hiziKaka hapo sio kulalamika, mbona huja leta zile za ku diss Walinzi wengine waoga πππ
Mlinzi Bora wa Muda wote, nime funga lindo π€π€
Walinzi Mnao wasifia ni nani na nani, mbona sioni??!ππ€.
Kuni linganisha ni utani bro, coz vichwa vyao vina maji ka wame beba ndooπ€ππ
Selikavu ona Sasaπππ€£tafuteni kote, ila kauli yangu ita jirudia, nilisha sema hakuna mlinzi Kama Mimi.
mleteni yoyote mnae mwaminiaπ€π€ππ