Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,506
- 16,577
oooh! this i how intelligent businessman portrayedYou know how I like it, when you lovin me🤗😊
oooh! this i how intelligent businessman portrayedYou know how I like it, when you lovin me🤗😊
Naomba AthletiCo Madrid ashinde, kwa Barca na psg wauane tu😄🤣Sana ball la nguvu, tusubiri na mechi za kesho.
mimi mkurya tata mtu wa nchini😂😂😂Wewe sasa ndo wa pwani pureeeee
Kama hii umeelewa 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Forever we mean no malice to nobodyoooh! this i how intelligent businessman portrayed
tukaribie wapi? unajua ndo mana huaminiki 😂😂😂Karibuni kwenye sikukuu, tukutane kwenye ibada
Afadhari, wangevusha kidogo ianze alhamis 😂😂😂2 days mkuu,
Wewe jilipue tu🤣Afadhari, wangevusha kidogo ianze alhamis 😂😂😂
Nime waza pia hako ka kitonga😄🤣, sema kwenye makarai hamna kazi ngumu ujue!😆Afadhari, wangevusha kidogo ianze alhamis 😂😂😂
Asante sana mzee wa No malice........Karibuni kwa anae jisikia kutembea na kuja kula au kuchangamsha meno.
Confidentiality ni muhimu usijali,so anyone out there una karibishwa kwa jobless pro max.
Pamoja Kaka, I mean no Malice to nobodyAsante sana mzee wa No malice........
Tukutane kwenye ibada tu, baada ya hapo kila mmoja apotee kivyaketukaribie wapi? unajua ndo mana huaminiki 😂😂😂

ulisikia wapi watumishi wa umma wanalalama ugumu wa kazi?😂😂😂Nime waza pia hako ka kitonga😄🤣, sema kwenye makarai hamna kazi ngumu ujue!😆
Lakini makarai si private sector??ulisikia wapi watumishi wa umma wanalalama ugumu wa kazi?😂😂😂
watanilipua na mimi weeWewe jilipue tu🤣
wabeba makarai ni wagavi na manunuzi unasiku ngapi hapa mjini BossLakini makarai si private sector??
Dah sisi tuna juaga wabeba makarai ni wazee wa dhahabu 🤓wabeba makarai ni wagavi na manunuzi unasiku ngapi hapa mjini Boss
Nakujua nasikia ni mpare kufa kufaTukutane kwenye ibada tu, baada ya hapo kila mmoja apotee kivyake![]()
hakuna aliye Opt Business chuo asijue utani wa wagavi na wahasibuDah sisi tuna juaga wabeba makarai ni wazee wa dhahabu 🤓