Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,262
- 49,202
Mm sikumbuki nilikuna Nazi lini mashine zipo Bei rahis kukuna sokoni
Mm sikumbuki nilikuna Nazi lini mashine zipo Bei rahis kukuna sokoni
Ambia hicho kivulana ki Poor Brain, kitakuwa Kama mgomba ulivyo pinda😆🤣Mm sikumbuki nilikuna Nazi lini mashine zipo Bei rahis kukuna sokoni
Nipe locationKaribuni kwa anae jisikia kutembea na kuja kula au kuchangamsha meno.
Confidentiality ni muhimu usijali,so anyone out there una karibishwa kwa jobless pro max.
Manyanza, Aaliyyah, Nuzulati, Half american, Poor Brain, Fake P, fundi bishoo, Poor Brain, Selikavu, adriz
Curiosity will kill u, expect nothing buddyHaya ndo masuala Siya pendagi😆🤣, Eti nikwambie kitu halafu, au basi 🤣
Sasa utakula nini Eid hii? Mwambie Fake P akualike ukashindwe kula na kunywa kama wayahudi wakati ule.Ndugu yako bado napiga miayo 😂
Njema, vp kwako?Habari yako?
PoaNjema, vp kwako?
kanzu nimesha azima 😆, navizia nizunguke harufu ya pilau unapo tokea🤓Sasa utakula nini Eid hii? Mwambie Fake P akualike ukashindwe kula na kunywa kama wayahudi wakati ule.
Ndo maana kakorofi sanamimi mkurya tata mtu wa nchini😂😂😂
I know that aam not here to live your expectations, neither you're here to live up mine 😆🤓Curiosity will kill u, expect nothing buddy
Wewe niulize unapo nionaga 🤓, una taka niunga niishiwe dots au🤣Nipe location