Duuh...!!Ujue nilikua nakusoma kimya kimya kama ww siku zile

Teh teeeh kam kawaida yko kujiteteaMe nipo machonilikua nawa cheki tu!! kimya kimya
Nilikuwepo semanili mute kidogo kamandawe ulikuwa ndani kumbe!
Hapo kama jeshini ushapata cheo chap chap
Ndioo...lazima uwe sharp! Tufunge geti sasa kachukue funguo kwa No escapeHapo kama jeshini ushapata cheo chap chap
Kutoka v2 mpaka afisa mteule daraja la3
Sawa!! Haya mr Escape naombaNdioo...lazima uwe sharp! Tufunge geti sasa kachukue funguo kwa No escape
tufunge getiusiku wote huu kung'ong'ana tena jamani
bwanaaaa sijang'ong'a ilikuwa mihayo ya usingizi tuuSi tunatoa strees ?Mmmhh.
Na hivi vyuma vilivyokaza mkuuu![]()
![]()
Umepotea
Spadeeeee
Najiandaa kuondoka home country. Sikuja nilikokuahidi maana nilipata kazi nyingi na za muda mfupi.Umepotea
Wizooo adimu wwSpadeeeee
Ahsante InnaNafunguaa getiiiii karibuni
Leo kuna neema kweliNafunguaa getiiiii karibuni
Hakuna jina nalipendaga kama la kwakoSpadeeeee