Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
Pitia hpa kwanguNapita tu mie
Pitia hpa kwanguNapita tu mie
Tafadhali funguo usiwe unaondoka nayo,hiyo tabia uliyoanza ya kuondoka na funguo unapotelea kusikojulukana wiki mbili,ndiyo imekimbiza popo na bundi wengi hapa kijiweniNafunga geti

Usipite mamy, unahitajika hapa, plz kaa kaa nasi kwanzaNapita tu mie
Nzuri mdauHabari za sa iz wadau??
GoodgoodHabari zenu...
Nzuri kabisa,wazima nyie?Habari za sa iz wadau??
Habari zenu...
Hapana,hapa hakuna kulala mpaka kucheee....Mmelala nyote..
Ndo nmekujaKuna mtu nimemfata naona leo hajaja huku. Sasa sijui atakuwa ameenda wapi.