Nikumbushe rafiki yangu mpendwa mlinzi mwenzangu mpendwaKujifanya hujui
Ukauzu Anautoa Wapi Hakuna Mkate Mgumu Mbele Ya Chai 😂Bwana angu huyu msanii sana.
Kauzu tu...
Na Kirainishi😂😂😂
Mamelod Sundowns 1 - 2 Young AfricansYoung Africans SC to the semi final
Eeeeh ooh iiiii
😂😁😂😂Fake P leo unafanyaje au na kibaridi hiki umeshaozeshwa ndoa ya uji😝