Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
i mean no malice to nobody
sameja ushabiki wa mpira hauruhusiwi eneo la jeshiTulia wewe mshafungwa
Jeshini tuna timu za kombania. We hukushiriki? Au ndo kitengo KOsameja ushabiki wa mpira hauruhusiwi eneo la jeshi
Huioni Mashujaa, JKT etcsameja ushabiki wa mpira hauruhusiwi eneo la jeshi
Mi leo hata game sitoi...sina hali sijiwez😭Walinzi wote ni utopolo? no no nooooo
😀 😀 😀 unamtengea tu kimasimangoMi leo hata game sitoi...sina hali sijiwez😭
Yeah huku nikichat jf🤒😀 😀 😀 unamtengea tu kimasimango
Sawa na hakuna namna aiseeTenzi no 10 pass me not, tuimbe beti ya mwisho
🤣🤣wee,sema kweli?Wakutufunga labda mahakama tu ila kwenye soka hayupo
Ni mwema kila wakatiMungu ni mwema sana
Labda na Ihefu🤣🤣wee,sema kweli?
Mi sikua kitengo nilifunga miguu sameja hata KO sikutakaJeshini tuna timu za kombania. We hukushiriki? Au ndo kitengo KO
njeeeHuioni Mashujaa, JKT etc
Tatizo lilianzia hapo. Hukudhuria michezoMi sikua kitengo nilifunga miguu sameja
njeee