HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Ndio naaga. Nawatakia usiku mwema
Mbn mapema?Ndio naaga. Nawatakia usiku mwema
Hahahaha...Kumekucha
WeweGeti ndo linafungwaa

Haha nn bhana ww tufunge getii sahzWewe![]()
Huoni aibu saa1 hiiHaha nn bhana ww tufunge getii sahz

Wewe fumba macho tu, ila geti nilisha funga toka saa9 jana ulidai saa7 unakuja sijui ukapotelea wap
Nilirud rafik angu macho yakagoma kunipa ushirikiano kwa ajil ya mwangaWewe fumba macho tu, ila geti nilisha funga toka saa9 jana ulidai saa7 unakuja sijui ukapotelea wap
Polesana, ila nawe hauvumi lakini humo kumbe kipaji unachoNilirud rafik angu macho yakagoma kunipa ushirikiano kwa ajil ya mwanga
Kipaji cha nn tena mpendwa?Polesana, ila nawe hauvumi lakini humo kumbevkipaji unacho
Unaijua kauli mbiu ya Tanzania ya viwanda?Kipaji cha nn tena mpendwa?
kipaji cha kuigizaKipaji cha nn tena mpendwa?
Ndio naijuaUnaijua kauli mbiu ya Tanzania ya viwanda?
Hongera kama unaijuaNdio naijua
