dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Heheh unajifanya mwanasiasa enhee! Ila sikuhiz hamna siri ujueHahahah! Namaaninisha 'Comrade Kinana' katibu mkuu wa chama
Heheh unajifanya mwanasiasa enhee! Ila sikuhiz hamna siri ujueHahahah! Namaaninisha 'Comrade Kinana' katibu mkuu wa chama
PolesanaUsingizi umekata
Mimi ni mwanasiasa mzuri tu. Ila sina chama wala siasa zangu sio za mitandaoniHeheh unajifanya mwanasiasa enhee! Ila sikuhiz hamna siri ujue
Hahaha humu kuna kila aina ya watu kuna popo wa mida hii wenine saa kumi namojaImenibidi niingie kijiweni
Haya vijana leteni habari
Subir utaijua tu siku hiyoMimi ni mwanasiasa mzuri tu. Ila sina chama wala siasa zangu sio za mitandaoni
Siri ya nini tena?
Wewe ni popo wa muda gani vileHahaha humu kuna kila aina ya watu kuna popo wa mida hii wenine saa kumi namoja

Hahaha humu kuna kila aina ya watu kuna popo wa mida hii wenine saa kumi namoja
Miss ushalala?Whati?
Umefanyaje mpaka ukakata usingizi jamani?![]()
![]()
![]()
Wengne wamepotea kimya kimyaYataka moyo kukesha lakinNaona tumebaki wa tatu tu.....!!
![]()
Aisee... Natamani hiyo siku iwe leo ili niipate hiyo siriSubir utaijua tu siku hiyo
Wengne wamepotea kimya kimyaYataka moyo kukesha lakin
Kama hii siunaona dude limeamshwaWewe ni popo wa muda gani vile![]()
![]()
![]()

Haiwez kua leo na sio siri tena maana ishavuja kabisaaAisee... Natamani hiyo siku iwe leo ili niipate hiyo siri
Si mchezo kabisa,Tena moyo wa chuma
Pole sana! Hapa umefika mahali sahihi " You will never walk alone " kama majogoo wa jijiUmekatika tu wenyewe ndugu yangu
Pole sana! Hapa umefika mahali sahihi " You will never walk alone " kama majogoo wa jiji
What!? Ipi hiyo? Inawahusu akina nani?Haiwez kua leo na sio siri tena maana ishavuja kabisaa