Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,384
- 95,802
Karibuni Mchemsho na Pepsi baridi
Huyo labda alikuwa na Cases zake nyingine ndiyo maana Askari wamemvamia.Niko naangalia live, nyumba za p Diddy zime vamiwa na ma polisi aisee
KumekuchaaaaaaDaku langu usingizi tu 😊
AlikujaNakuja kukuamsha au anakuja .....
🤓Hahahahaha..unataka kuwa nani ?
Hongera sanaBado nimelala
nafurahi kwa hilo tajiriAm real feeling good
Let's keep the spirit high 👊Everything is okay Leader
Babu yako nina arosto ya Kiko na hivi sijavuta muda mrefu, kwahiyo nilijiongeza ili nipate hela ya kununua Kiko zangu [emoji12]
Ina semekana ali mbaka msanii mwenzie, na pia Ile case ya Tupac ina fukuta motoHuyo labda alikuwa na Cases zake nyingine ndiyo maana Askari wamemvamia.
Japo Kibongo Bongo unaweza kushtakiwa Kwa Uhujumi Uchumi iwapo ukakutwa na kiasi Kikubwa cha Fedha ndani kwako
Yeah, kutumia siku 10 tu AiseeSenegal 🇸🇳 nimeona yule kijana wamemtoa magereza kaja kuchukua nchi. Sometimes mabadiliko ni muhimu katika ustawi wa taifa.
Sawa kipenzi😔weeeee nimegaili simalizi mwezi mzima huku kama tulivyo kubaliana nipo njian narudi
Hahahahahayan huyu raia anako elekea nitamloga nakwambia[emoji23],,,, naomb uendelee kumkazia hivyo hivy dear
Rehema za mola, zime nipa nafasi ya kuiona na kuishi siku nyingineIntelligent businessman uko poa?a
Sawa kipenzi[emoji17]
Hahahahaha