JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hakuna kazi ngumu kama Kulala ukiwa na hela nyingi ndani ya nyumba, yaani ukisikia sauti kidogo nje unaamka kukagua hela zako kuona kama zipo 🙌

Na hapo ni shilingi laki 1, sijui wale wanaokuwaga na milioni milioni kama hata Usingizi huwa wanapata(ga) 😜

11:27 PM
 
Huwa nawaza matajiri Wana lalaje??, hasa wale wenye umoja.
Maana- Kuna kusalitiana, kuibiwa na Hata kufanyiana umafia mwingine.

mfano Mimi huwa nawaza kila Jambo ninalo fanya, from the first to the last process.
Siku Niki zishika SI ndo nita wa hack watu ili niwe na over see kila wanacho fanya 😂😀
 
Back
Top Bottom