Nenda kasali .pambana yapo tu05:39 lindo lime fungwa, Jobless pro max niamke Nika pambanie ugali
Hakika Mkuu, hawa watakuja kula mvua ya miaka 30 we waache tu 😜Waambie wakae kwa kutulia wajukuu bado kama mvua 4 ivi
Hakika Mkuu, hawa watakuja kula mvua ya miaka 30 we waache tu
Wanajifanya wajanja kurusha mawe juu ya Bati ili kuwaita....
Kitu wasichojua hata miaka ile namvizia Bibi yao ili nimwoe nilitumia mbinu hii pia![]()
Hahahahaha,Boss lady jamboKwa użee gani uliokua nao?
Huogopi hizi Mvi Mkuu 😜Kwa użee gani uliokua nao?
HahahahahaHuogopi hizi Mvi Mkuu 😜
Umesharudi Mjini Mjukuu?
Muda wa kwenda ibadani huu 🤗Hahahahaha
Mie ndio niko njiani kuelekea St PetersMuda wa kwenda ibadani huu 🤗
Hahahahaha,Boss lady jambo
Huogopi hizi Mvi Mkuu
Umesharudi Mjini Mjukuu?
Ngoja nami nivuke Maji nisogee hapo 🙏Mie ndio niko njiani kuelekea St Peters
Afadhali Wazee tumepata mtetezi 🤗Mvi ndo nzuri babu.
Ijumaa nitakuwepo mjini
Afadhali Wazee tumepata mtetezi
Nikijua arrival time yenu tu utanikuta terminal 3 pale kukusubiri![]()

Hapo ndio utaamini kuwa hakuna jipya chini ya jua yote yalishafanyika.Hakika Mkuu, hawa watakuja kula mvua ya miaka 30 we waache tu 😜
Wanajifanya wajanja kurusha mawe juu ya Bati ili kuwaita....
Kitu wasichojua hata miaka ile namvizia Bibi yao ili nimwoe nilitumia mbinu hii pia 🙌🏃🏃🏃