Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,815
- 113,374
Si uliona kuoa ni muhimu kuliko kuijenga msimbazi 😅Bahati mbaya Wazee tuliendekeza Kuoa sana, otherwise ningekuwa na ghorofa Mtaa wa Msimbazi 😜
Si uliona kuoa ni muhimu kuliko kuijenga msimbazi 😅Bahati mbaya Wazee tuliendekeza Kuoa sana, otherwise ningekuwa na ghorofa Mtaa wa Msimbazi 😜
Naunga mkono hoja anajisifia kukaa bila kazi na anaona Raha kabisaNenda kasali .pambana yapo tu
Halafu kataa hy promo unayojipa ushauri wangu tu ...ubajineneq u jobles as a sifa kumbe sio
Babu hili ghorofa maeneo ya kigamboni ni lako hapa maeneo ya ChekaBahati mbaya Wazee tuliendekeza Kuoa sana, otherwise ningekuwa na ghorofa Mtaa wa Msimbazi 😜
Hahaha..........sio langu Mkuu, japo nina kibanda hapo hapo uliposema 🤗Babu hili ghorofa maeneo ya kigamboni ni lako hapa maeneo ya Cheka
Tena enzi zile viwanja Kariakoo ilikuwa shilingi 2,500 unapata ekari 5Si uliona kuoa ni muhimu kuliko kuijenga msimbazi 😅
Ndio Kile chenye mabati ya msauzi BabuHahaha..........sio langu Mkuu, japo nina kibanda hapo hapo uliposema 🤗
Changu bado kipo kwenye msingi Mjukuu 😜Ndio Kile chenye mabati ya msauzi Babu
Asante sana kwa ushauri babuChangu bado kipo kwenye msingi Mjukuu 😜
Isingekuwa Kuoa uo Kila Mwaka saivi ningekuwa nimekamilisha Ujenzi wake 🤗
Nanyi Vijana msiwe kama Babu yenu, mkiendekeza kuoa hata bei ya Saruji hamtaijua
😂 dah nataka niseme kitu ila nawaza miaka 30 baadae ntakuwa najilaumu kushindwa kununua kiwanja cha milion 50, miaka hiyo kitakua 500m+Tena enzi zile viwanja Kariakoo ilikuwa shilingi 2,500 unapata ekari 5
Leo hii ningeitwa Babu bilionea Mimi 🤗🙌
Ngoja nimwambie waiter aniletee John Walker yangu nipoze machungu 🍻😜
Ardhi pekee ndiyo huwa haishuki thamani😂 dah nataka niseme kitu ila nawaza miaka 30 baadae ntakuwa najilaumu kushindwa kununua kiwanja cha milion 50, miaka hiyo kitakua 500m+
Nitasubiri kusikia viwanja vipya kutoka kwenuTunapiga sana story wakati leo ni Weekend , toeni ratiba tunakula wapi kitimoto na bia
Hahahahaha..huko samaki samaki mimi hapanifai nishazoea ..buza..ununio..tegeta..sinza ..KinondoniNitasubiri kusikia viwanja vipya kutoka kwenu
Sisi Wazee tutakuwa Samaki Samaki ili tuyape afya macho pamoja na shingo kwaajili ya kuangalia Maua 😜
Mitaa yetu Wazee hiyo tukishapata pension 🤗Hahahahaha..huko samaki samaki mimi hapanifai nishazoea ..buza..ununio..tegeta..sinza ..Kinondoni
Hahahahaha..hayo maeneo muzee hakai ..ila nakuelewa...nilisoma Russia na Algeria..na sio CubaMitaa yetu Wazee hiyo tukishapata pension 🤗
Daktari ametushauri ili kulinda Afya zetu vyema tuwe tunaenda hayo maeneo kwaajili ya kuosha macho 😜Hahahahaha..hayo maeneo muzee hakai ..ila nakuelewa...nilisoma Russia na Algeria..na sio Cuba
Hakika ardhi ni mali naona vijana wa zamani waliowekeza kwenye ardhi wanafaidi uwekezaji wao.Ardhi pekee ndiyo huwa haishuki thamani
Kiwanja kinachouzwa Kigamboni 15M leo hii, baada ya miaka 20 mbele kinaweza kuuzwa 100M
Kama umri wako una ruhusu, usiache kuwekeza kwaajili ya Uzee wako
Sisi wengine tumebaki kuwategemea Wajukuu Kwa Kila jambo maana hatukujipanga enzi za Ujana wetu 🙌
Kweli MkuuHakika ardhi ni mali naona vijana wa zamani waliowekeza kwenye ardhi wanafaidi uwekezaji wao.
Hiyo haya ya mwisho ndio ya kuzingatia 😂Kweli Mkuu
Kama una nafasi Jenga nyumba za Kupangisha za kutosha tu
Ukifika Uzeeni hutahitaji kuwasumbua watoto wako wakutumie hela ya Matumizi.
Utajikuta unapata meseji Kila Mwezi za wapangaji kukutumia Kodi zako tu
Wakati huo utakuwa unacheza golf na Wazee wenzako viwanja vya Gymkhana huku unakula totozi moja ya viwango kutoka hapo IFM 😜
Tafadhali usiizingatie hiyo Aya ya mwisho nimeandika kuchagiza tu 😜