Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Yeah nadhani ✋🏽Hahahahahaha...ndio kujenga huko
Yeah nadhani ✋🏽Hahahahahaha...ndio kujenga huko
Unadhani wakati uko kazini ? Unatakiwa u enjoy kaziYeah nadhani ✋🏽
Sawa..basi ngoja nienjoy mkuu.Asubuhi njemaUnadhani wakati uko kazini ? Unatakiwa u enjoy kazi
PoaSawa..basi ngoja nienjoy mkuu.Asubuhi njema
Habari za asubuhi my wangu 😘😋😋
Vincenzo,kuna mdogo wangu anataka kazi.....au kibarua chochote....can u connect him?Habari za asubuhi my wangu 😘😋😋
Hahahahaha...DuhNaitwa To yeye talaka nilikupa usiku wa manane🙄
Imekaa vzr sana hii..kupeana connectionVincenzo,kuna mdogo wangu anataka kazi.....au kibarua chochote....can u connect him?
Kama yupo mererani Kuna kazi machimboni kama yupo mbagala Kuna kazi kiwandani kwa Azam chajuice kama kapitia JKT Kuna kazi za ulinzi Suma JKT kwa mwezi ni laki 3 hapa maeneo ya makumbusho kunatakiwa vijana wawili walinziVincenzo,kuna mdogo wangu anataka kazi.....au kibarua chochote....can u connect him?
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Naitwa To yeye talaka nilikupa usiku wa manane🙄
😭😭😭🤒😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Sawa nadhani mererani hiyoKama yupo mererani Kuna kazi machimboni kama yupo mbagala Kuna kazi kiwandani kwa Azam chajuice kama kapitia JKT Kuna kazi za ulinzi Suma JKT kwa mwezi ni laki 3 hapa maeneo ya makumbusho kunatakiwa vijana wawili walinzi
Sana Tresor Mandala ...,maisha ndiyo hayahaya...waweza mwona mtu ombaomba kumbe anashida kweli....But life goes on😉Imekaa vzr sana hii..kupeana connection
Ni kweli..mpk mtu anaomba ujue ana shida kweli..na shida haina mmoja yoyote humkumbaSana Tresor Mandala ...,maisha ndiyo hayahaya...waweza mwona mtu ombaomba kumbe anashida kweli....But life goes on😉
HakikaNi kweli..mpk mtu anaomba ujue ana shida kweli..na shida haina mmoja yoyote humkumba
Kabisa...nakuelewa usemaloHakika
Sawa Asante TresorKabisa...nakuelewa usemalo
Ahsante na wewe...karibu lunch..Sawa Asante Tresor
Barikiwa....ndo namalizia kinywaji metoka kula..Ahsante na wewe...karibu lunch..