Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,385
- 95,807
Sasa hapo ungeshushia hii kitu pendwa,RafikiBarikiwa....ndo namalizia kinywaji metoka kula..
Sasa hapo ungeshushia hii kitu pendwa,RafikiBarikiwa....ndo namalizia kinywaji metoka kula..
Yule pembeni ni singlemom?Sasa hapo ungeshushia hii kitu pendwa,Rafiki
Nimekunywa pepsiSasa hapo ungeshushia hii kitu pendwa,Rafiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mbona hili lilikua chimbo langu kabisaa, nilikua nabebika na Mjep yaan tunalinda haswaaa.udugu na huku unafika[emoji23]
Ni vyedii mnoo bablaiiiii.Mu
Mungu anasaidia..ni poa sana
Hapa mie ni home, nachungulia room angu naona imekodishwaaa, daaah Co poaaa.Mtoto wa kingoni karibu sana pande hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] funda kungwiii, mie nyakangaa nadeal na makamwali tyuuh.Kuhusu nini tena? Mbona kilakitu mnacho wangu....afu muwe mnatutazama machoni mnapotuandaa...siyo mnatubonyabonya huku mnaangalia kungine [emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]12:41 kaka Nina shida na laki 2 sijalipia Kodi nitakatiwa maji na umeme kaka nitumie hiyoo nitakulipa mwisho wa mwezi Mimi mdogo wako mpendwa from mwanza chagamba
🤣🤣🤣🤣nilivamia kambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] funda kungwiii, mie nyakangaa nadeal na makamwali tyuuh.
Hizo Pepsi nazinywa sana kila siku km zina madhara mie zitaniathiriNimekunywa pepsi
Hahahahaha Yupi na kwann umesema hivyo ?Yule pembeni ni singlemom?
Nimeona kama mdada pale na mtoto au ni mkaka....just check your picture ya biaHahahahaha Yupi na kwann umesema hivyo ?
🤣😂😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah umeona sawa ila ni mkaka sio mdadaNimeona kama mdada pale na mtoto au ni mkaka....just check your picture ya bia
Anha,nikajua ndiyo mkeo maana ulisema mie ni mchepuko😪Yeah umeona sawa ila ni mkaka sio mdada
Hahahahaha...aisee..yamekua haya tenaAnha,nikajua ndiyo mkeo maana ulisema mie ni mchepuko😪
Vincenzo Jr naomba turudiane huyu amenitesa sana 😭😭😭
😭😭😭🤒Hahahahaha...aisee..yamekua haya tena