Mi sina neno kama nilichoomba ndo inatakiwa nilipe ivi😭😭😭Umeninyima na unanikimbia dah 😭😂
Na mie nitalia wangu unaniliza jameni 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mi sina neno kama nilichoomba ndo inatakiwa nilipe ivi😭😭😭
Kunywa maji mengi mkuu12:58
Ninavyosikia njaa utadhani sijala leo.
Wakati nimepiga mdudu wa na ugali wakwenda mpaka nikataka kuacha ngano mezani [emoji23][emoji23] au ndio nilikuwa nakaribia Ile hatua ya kuvimbiwa?
Hiyo inaitwa nipe nikupe [emoji23][emoji23] mpe kijanaMi sina neno kama nilichoomba ndo inatakiwa nilipe ivi[emoji24][emoji24][emoji24]
Nimeshindwa mkuu😞Hiyo inaitwa nipe nikupe [emoji23][emoji23] mpe kijana
🤣🤣🤣 pole12:58
Ninavyosikia njaa utadhani sijala leo.
Wakati nimepiga mdudu wa na ugali wakwenda mpaka nikataka kuacha ngano mezani [emoji23][emoji23] au ndio nilikuwa nakaribia Ile hatua ya kuvimbiwa?
nimeweka na hina kwenye ndevuuu fyuuuuu 🤣Afu wewe ni Mdada eti? Umejuaje?🥴
Astaghafirullah 😁😂😂nimeweka na hina kwenye ndevuuu fyuuuuu 🤣
😳nimeweka na hina kwenye ndevuuu fyuuuuu 🤣
tulikubaliana lakini bla blahSalama leko 😁😂😁😁
Naenda anavyotaka yeye 🤣 🤣Astaghafirullah 😁😂😂
Nachangamsha genge tu hapa sina noma nae huyo labda yeye ndio awe na noma na mietulikubaliana lakini bla blah
😁😂😁😁Naenda anavyotaka yeye 🤣 🤣
We muache akibanebane mwisho kiliwe na nyenyere 😂😁Hiyo inaitwa nipe nikupe [emoji23][emoji23] mpe kijana