Zero_Day
Senior Member
- Jan 23, 2024
- 134
- 437
[emoji23][emoji23] ayo ni matokeo ya kutopata usingizi usingizi macho yangu yamekua mekundu mno [emoji17]Macho mekundu mno ni ngumu kupata usingizi
[emoji23][emoji23] ayo ni matokeo ya kutopata usingizi usingizi macho yangu yamekua mekundu mno [emoji17]Macho mekundu mno ni ngumu kupata usingizi
kiongozi wenu paganist anasemaje 🤣Paganists
Sina noma nae huyo Binti chagamba number yangu anayo akijiskia kuomba pesa anicheki Nina patikana masaa 24 na nyumbani kwangu kigamboni anapajua piaTunasikitika sisi hadhira 😌
22 yearsUnaumri gani
Ulikopeleka mboga mkuu🤒[emoji23][emoji23] ayo ni matokeo ya kutopata usingizi usingizi macho yangu yamekua mekundu mno [emoji17]
🤣🤣🤣🙌🏿 aisee...tutakomaSina noma nae huyo Binti chagamba number yangu anayo akijiskia kuomba pesa anicheki Nina patikana masaa 24 na nyumbani kwangu kigamboni anapajua pia
Kumbe upo ulikuwa una tu zoom tu😂😂Jamani jamani...mbona misemo na mizungu usikuusiku🙁
Yupo tu hana dhambi wala nini🥴kiongozi wenu paganist anasemaje 🤣
[emoji3166][emoji15]🥱Ulikopeleka mboga mkuu[emoji855]
Labda una mawazo ya kukosa kaziUsiku sipati usingizi nalala sa 11 alfajiri na kuamka sa 6 mchana kwanini?
🤣🤣🤣🤣🙄 niache bhanaKumbe upo ulikuwa una tu zoom tu😂😂
oouk usijari hapa ni sehemu sahihi kwa ajili yako .. ni kupanda juu ya meza tuu, usingizi utakuja wenyewe usihofu22 years
Duh polee sana Itakuwa unaumwa wewe nenda kituo cha afyaUsiku sipati usingizi nalala sa 11 alfajiri na kuamka sa 6 mchana kwanini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zanguuu😆Labda una mawazo ya kukosa kazi
Afu kaambie kaondoke humu...umri huo ni kadogo sana kukesha 🙄oouk usijari hapa ni sehemu sahihi kwa ajili yako .. ni kupanda juu ya meza tuu, usingizi utakuja wenyewe usihofu
Bwana awaongozeSina noma nae huyo Binti chagamba number yangu anayo akijiskia kuomba pesa anicheki Nina patikana masaa 24 na nyumbani kwangu kigamboni anapajua pia
Njoo home unipe darasa kwanza 😍😘🥰😘😘😛😛😛🤣🤣🤣 afu Charles tu serious...mi niagizie laptop jamani pleasee
Naunga mkono hoja afandeAfu kaambie kaondoke humu...umri huo ni kadogo sana kukesha 🙄
Utashangaa na papuchi hajapewa,bas hasiraaBwana awaongoze